Watu 16 wafukiwa mgodi wa dhahabu wilayani Geita Mkoani Mwanza

Mgoyangi

Senior Member
Feb 6, 2008
184
9
Watu 16 wamefukiwa na Kifusi walipokuwa wakitafuta dhahabu katika mgodi kwenye kata ya Kaseme wilayani Geita Mkoani Mwanza. Maiti wameopolewa na watu wanane wametambuliwa.

Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Mwanza kwa sasa ipo huko ikichunguza tukio hilo chini ya Uenyekiti wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Ajali inasemekana imetokea jana na chanzo ni kufumuka kwa dhashabu ambayo ilimvutia kila mtu kuchimba.
 
hicho cha blue ni kito kipya eeeh?
 
RIP wote waliokumbwa na UMAUTI

Je tutaishi kwa NEEMA YA MUNGU hadi lini? Ajali kila kukicha!
 
yaani tanzania tutamalizika kwa ajali!
ajali barabarani, ajali kwenye migodi, ajali baharini, ajali kwenye ujenzi ......
 
Yanatukumbusha ya mererani, May almight God rest their soul in ertenal peace amen
 
Duh! Chanzo ni nini tena masikini wa Mungu. Waliofariki Mola awapokee kwenye uzima wa Milele na wafiwa awatie moyo wa shime katika kipindi hiki kigumu. AMINA.
 
Eternal rest give to them oh lord!
And let perpetual light shine upon
them may they rest in peace.
Amen!
 
Ajali inasemekana imetokea jana na chanzo ni kufumuka kwa dhashabu ambayo ilimvutia kila mtu kuchimba.

RIP na poleni wafiwa. Ila kweli zishawishi ni vingi methali ya fuata nyuki...
 
Jamani mbona taarifa hii haisemi wamekufa sasa hizo RIP za nini? Linalotakiwa kufanywa ni hatua za kuwaokoa siyo kulia vilio. Hivi karibuni Wachina wameweza kuwaokoa wachimbaji waliokuwa wamefukiwa kwa juma zima. Jitahada za kuwaokoa zifanyike haraka. Mungu awape uhai.
 
Mungu atuepushe na haya majanga! huu mwaka kumekuwa na ajali nyingi sana hadi inatisha.Mungu aziweke roho za marehemu mahalapema peponi Amin!
 
Mungu atuepushe na haya majanga! huu mwaka kumekuwa na ajali nyingi sana hadi inatisha.Mungu aziweke roho za marehemu mahalapema peponi Amin!

Jamani kwanini haya maneno? ndo tunawaua sasa kwa kudhani wamekufa badala ya kufukua na kuwaokoa wakiwa hai. Bongo noma kweli.
 
watu 16 wamefukiwa na kifusi walipokuwa wakitafuta dhahabu katika mgodi kwenye kata ya kaseme wilayani geita mkoani mwanza. Maiti wameopolewa na watu wanane wametambuliwa.

Kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa mwanza kwa sasa ipo huko ikichunguza tukio hilo chini ya uenyekiti wa mkuu wa mkoa wa mwanza. Ajali inasemekana imetokea jana na chanzo ni kufumuka kwa dhashabu ambayo ilimvutia kila mtu kuchimba.

rip.
 
Mungu azilaze roho za marehemu pahalipema peponi..... hayo mashimo yanamilikiwa na kampuni gani ama ni kule kwa wachimbaji wadogowadogo??
 
Huko mashimoni inabidi waweke vitengo vya huduma ya kwanza ili maafa kama haya wawe yanashughulikiwa haraka iwezekanavyo!!!
 
Back
Top Bottom