Watowaji nyaraka na wapokeaji.

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Ndugu wa Tanzania kumekuwa na mazungumzo mengi kuhusiana na waraka wa makanisa kwa bahati nzuri wabunge wenye imani ya ukristo wameweza kuonesha hisia zao kiasi gani wamefurahishwa na waraka huo, kwa upande wa wabunge wenye imani ya kisilamu bado hatujasikia nini maoni yao,ukimnya wao hatuelewi unamainisha nini ? kuwa nawao wamekubali au wanasubiri waraka wakisilamu ili waunge mkono?
 
Hili ndilo lililozungumzwa na Kingunge!
 
Back
Top Bottom