Watoto!!

Kwako tena CPU pole na samahani kwa kutoweza kukuridhisha kwa topic.Ila hii nia yake ilikua kuangalia mabaya kwa upande wa wazazi...ningeunganisha na ya watoto mngeishia kuniambia nipunguze paragraph!Kwa sababu sahihi na wakati maalumu labda ntageuza upande!Siwezi kua nazo zote at once.Alafu hiyo mifano yangu niliipatia kijijini!Usidhani maisha ya kijijini siyajui...miaka saba sio midogo kwahiyo jua nimeona mengi ya kule.

Huna haja ya kuni-satisfy kwa kila kitu, wala kusatisfy kila mtu kwani hautaweza.
Sidhani kama uliwazia kuandika mabaya ya watoto wakati unaandika hii sredi, na hata ungeandika bado angeweza kutokea mtu akasema haujagusa hapa au pale. So nilichokifanya ni kuongezea mawazo kama ilivyo ada yangu. Maana huwezi ukasema utaleta sredi yenye kila kitu ndio maana sisi wengine tunaongezea na ya kwetu kama sehemu ya kukamilisha maana ya kuchangia mada.
Kuhusu maisha ya vijijini sio kwamba haujakaa kijijini, na wala si rahisi kujua nani amekaa au hajakaa. Nilichokifanya ni ku-Quote comment za Mazunguse aliyeongelea watoto wa kijijini ambao anaweza kuelewa neno internet kama tusi la kizungu. So kwa maana nyingine hao watoto hawana hata ufahamu wowote wa dunia ya sasa hivyo wanadhalilika au wanateswa kielimu pia

The Following 2 Users Say Thank You to Lizzy For This Useful Post:

CPU (Today), Dark City (Today)​
 
Kwenye nyekundu I never claimed to do so!!!
''Ila hii nia yake ilikua kuangalia mabaya kwa upande wa wazazi...''

Newyz kuhusu watoto wa vijijini I can only reach the ones that I can!!Isiwe kosa mimi kuleta mada hapa badala ya kupeleka kijijini....siku nikiweza kufanya hivyo ntafanya hivyo....ila kwa sasa naanza na nyie mnaojua internet ili tukumbushane na kila atakaeweza asaidie pale penye uhitaji!!
 
Lizzy!
Ahsante kwa thread yako nzuri ambayo naamini wachangiaji karibu wote wameifurahia na kuchangia kwa kadri ya uwezo wao.
Naamini tatizo la utesaji wa watoto lina impact kubwa kuliko tunavyoliangalia,na pia sababu zake ni nyingi pia.

Jamii inashuhudia watu wenye tabia za ajabu na wakatili kupindukia ambao huja kuleta madhara makubwa kwa jamii husika,wengi wao tunaelezwa walipata malezi magumu na mateso wakiwa watoto.

Lakini kwa nini wazazi/walezi huwa wanafikia kuwatesa watoto wao?-sababu ni nyingi lakini baadhi ni kama zifuatazo-
1.Matatizo ndani ya ndoa-wanandoa wengine (ambao mara nyingi huwa wanawake) wanamalizia hasira na machungu wayapatayo toka kwa waume zao ndani ya ndoa kwa watoto.
2.Wazazi wa kiume walio wengi wana mambo yao nje ya ndoa wakirudi nyumbani wanakuwa tofauti na walivyo nje ya nyumba zao,wengi wakali ndani ya nyumba lakini sivyo walivyo wanapokuwa na marafiki au watu wengine nje ya nyumba zao..kwa hiyo kama defensive mechanism huwa wanaamua kuwa wakali toka kwa mama mpaka watoto na kutoa adhabu za ajabu na zisizo lenga kufundisha/kurekebisha.
3.Kutokuwa wacha Mungu wa kweli (siyo unafiki wa kwenda kanisani na misikitini ili tuonekane) kwa wazazi/walezi

Lizzy umenikumbusha mbali na nakumbuka cousin wangu mpendwa alivyoteswa mno na mama yake wa kambo,leo hii anaona cousin mambo yako kwenye mstari anajishebedua na kujifanya mimi mama yako! bila haya..

Tuwapende watoto amini upendo ni kitu cha kwanza ambacho kila mtoto duniani angependa kuwa nacho,vinavyofuata ni options tu huyu atapenda kile na huyu atapenda hiki,ila wote kwa ujumla wanapenda UPENDO
 
Kwahiyo wajukuu zangu: Mmekonkludi nini?

Mi naomba kwa maulana, atakayewapiga watoto baioliji yake na igeuke jinsia halafu ikae kwenye paji la uso!:ballchain:
 
Nimejawa upendo sana juu ya watoto wadogo hadi wakati wa sikukuu zingine huwa napenda kwenda kuwasaidia mayatima na wenye mazingira magumu, hali hii hadi nimewaambukiza wanangu kuna kapu kama hawataki viatu nguo na michezo fulani huwa wanatupia humo wakati ukifika tunachagua kituo na kupeleka. nina imani watu wengi humu wamejaza mavitu ambayo hawtumii ila kuyatoa wanajiuliza wapeleke wapi kuna vituo vingi tu vya kutoa kwa ajili ya hawa watoto.
Tupende watoto ni Taifa la kesho
 
Kwahiyo wajukuu zangu: Mmekonkludi nini?

Mi naomba kwa maulana, atakayewapiga watoto baioliji yake na igeuke jinsia halafu ikae kwenye paji la uso!:ballchain:

Unyanyasaji sio mzuri na ni hatari kwa maendeleo ya mtoto....espesheli kisaikolojia!
 
Kwahiyo wajukuu zangu: Mmekonkludi nini?

Mi naomba kwa maulana, atakayewapiga watoto baioliji yake na igeuke jinsia halafu ikae kwenye paji la uso!:ballchain:

Babu bwana sasa haya mambo ya kuchekesha kwenye mada sirias si vizuri
mwenzio nimejimwagia kahawa kwenye keyboard kwa kucheka
 
Kwa kuwa umecheka bila kunigongea senksi wala kulipa kiingilio,
Kwakuwa umejimwagia kupitia keyboard yako kahawa uliyopewa na mkoloni unayemwita mwajiri wako,
Kwakuwa umemjibu babu bila kumwamkia gudimoning zis aftanuun senkyu sit down limited,

Babu anakupa sekunde kumi kumwomba radhi kabla hajakubwenga makwenzi kwenye utosi wako bila kujali wewe ni mtoto!

Vinginevyo nami ntakumwagia!.........ulishawahi mwagiwa kahawa ya moto? Haya iombe razi keyboard yako hapo!
 
Jamani oneni aibu kuchakachua thread yenye masikitiko!!!!:embarassed2:
 
Tusiwalee watu kama hawa jamani, Kuna jirani yangu alimpiga mwanae hadi akampasua jicho. Hadi sasa jamaa harudi nyumbani, vyombo husika vinahangaika naye.
 
:lol: lol..gudiaftanun babu nimeshakugongea senks hapo juu na keyboard nimeifuta, usikasirike basiii aii
sasa ukinibwenga kwenzi si utakuwa umeninyanyasa mie mtoto
 
LOH....Utadhani yeye hana macho:smash:
 
Kwahiyo wajukuu zangu: Mmekonkludi nini?

Mi naomba kwa maulana, atakayewapiga watoto baioliji yake na igeuke jinsia halafu ikae kwenye paji la uso!:ballchain:

Usinyanyase watoto, usinyanyapae watoto wa ndugu unaokaa nao, wapende kama uliowazaa mwenyewe, tusibake watoto, na wazazi wengine tusitoe adhabu kubwakubwa kwa watoto wetu mpaka unampa kilema cha maisha
 
Jamani oneni aibu kuchakachua thread yenye masikitiko!!!!:embarassed2:
Wa kuona aibu ni hao wanaopiga watoto, sisi tunavibwenga vidubwasha vya keyboard kama vitaona hatuvitendei haki, na log out naenda kubwenga vizibo vya serengeti lager....lakini kubwenga watoto...ng'oooo.

:lol: lol..gudiaftanun babu nimeshakugongea senks hapo juu na keyboard nimeifuta, usikasirike basiii aii
sasa ukinibwenga kwenzi si utakuwa umeninyanyasa mie mtoto
Umesamehewa dhambi zako, enenda kwa amani. Usitende tena dhambi.
 
Wa kuona aibu ni hao wanaopiga watoto, sisi tunavibwenga vidubwasha vya keyboard kama vitaona hatuvitendei haki, na log out naenda kubwenga vizibo vya serengeti lager....lakini kubwenga watoto...ng'oooo.

Umesamehewa dhambi zako, enenda kwa amani. Usitende tena dhambi.

Mkiendelea naripoti abyuuzi mhamishiwe chit chat!
 
Nakumbuka tukio la unyanyasaji alinifanyia mtoto wa mjomba sitasahau hivi leo ni libaba limeoa nikiliangalia huwa nasikia kero na sina amani kukaa nae sehemu moja, jamani mtoto wa mwezio ni mwanao tusinyanyase watoto
 
Pole mwaya!!!
 
Back
Top Bottom