Watoto watundu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
watotowatundu.jpg
 
Alafu kanacheka as if he did something good, sijui utaanza kufanya usafi au uwakimbize hospitali, mh kazi ipo na wana.
 
Nafikiri ambaye ni mtundu zaidi ni huyo ama mzazi au mlezi anayejua kwamba anaishi na watoto halafu bado anaacha vitu ki hasara hasara. Hata ukiwachapa haisaidii kwani sana sana watakuwa wamekufundisha wajibu wako wa kuhifadhi vitu vizuri hasa unapokuwa na watoto wadogo. Imagine kama yangekuwa madawa? Nani kauwa?
 
Back
Top Bottom