Watoto watundu

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,857
13,139
Kwa kawaida watoto ni watundu sana na hupenda kufahamu kilichojificha , lakini hawa ni zaidi
kid-staring-at-boobs-7_thumb.jpg

Sijui utawakatazaje?
kid-staring-at-boobs-8_thumb.jpg
 
Hahahahaaa,,, hutu tutoto tumezidi kudadisi aisee...
 
Ndio maana mtoto akionyesha kudadisi anatolewa nduki kwa wazazi wake hawalali nae tena, ila nitoe angalizo siyo kwa maisha ya sasa hv ya chumba kimoja
 
Mmh! Ndugu hii ni hatari" je mwenyekosa nani? Kipind hiki watoto wanakuwa wadadis sana hasa katika mambo ambayo yanapendwa au kuzungumzwa na wakubwa ingawa kiukwel hayana tija kwa maendeleo ya akili zao zaidi kuwakomaza! Tuwe makin bandugu zangu.
 
huyu wa pili ndio kanitoa nishai hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ni ishara nzuri kwa ukuaji wa mtoto!atakuwa na iq kubwa !hahahahaaaaa!ila wa pili kazidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom