Watoto Wanne wa Mwenyekiti wa Chama Jakaya Kikwete

2a15999945dc4f3672b5d05341418d1d.jpg

Kamati ya ushindi
 
katika watoto wote wa mkwere Miraji yuko social sana,anajichanganya sana uswazi

Si anafata bhangi! zamani yule jirani yao pale Morocco hayati Msanii Langa ndo alikuwa Chief supplier wake. Kuna kipindi Miraji alitoroka kwao akawa anaishi kwa kina kalapina Kuanzia asbh mpaka jion yeye na ganja ganja na yeye mpaka Wazee wa kazi wakamuibukia Viwanja cha Biafra usk wakamnasa na kumrudisha nyumbani. Katumbukizwa Malaysia kwny Chuo bora cha IT sasa hivi ni Mchawi as Computer kwa level ya kibongo bongo!
 
Wachaga wanamchukia sana kikwete,sasa hizi pumba humu ndani za kuisema familia yake ndo zitaaffect vipi maisha yake?tuachane na roho mbaya,mtu kakaa kimya mnamtafuta.
We ndezi kweli,tumchukie ananini? Mwanae riz alitamka wazi kutowapenda wanakaskazni sasa tunahaja gani ya kuwapenda wao? Usituchagulie marafiki.
 
Back
Top Bottom