Watoto wanaoishi katika mazingira magumu (Most vulnerable children)

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Africa zinzokabiliwa na wimbi kubwa la watoto wanoishi katika mazingira magumu .
Utafiti ulliofanyika ulitambua makundi mbalimbali ya watoto hao ikiwa ni pamoja na -
1. Watoto yatima ( Orphan children)
2. Watoto wenye ulemavu ( Children with disabilities)
3.. Watoto wanaojilea ( Children parents)
4. Watoto wanaoishi na virusi vya ukimwi (Children with HIV/AIDS)
5. .Watoto wenye ulemavu wa ngozi (Albino)
6.. Watoto wa mtaani (Children in/of street)
7. Watoto walioathirika kwa ubakaji (Children victim of rape)
8. Watoto wanaolelewa na wazee kupindukia (Children in eldery families)
9. Watoto walio kwenye ajira hatarishi (Children in exploitative labour)
10. Watoto walio kwenye biashara ya ngono ( Children sex workers)
11. Watoto wenye magonjwa sugu k.m. kifafa ( Chronicaly ill children)
12. Watoto waliopata mimba za mapema (Early pregnancy)
13. Watoto waliotelekezwa (Children in foster families)
14. Watoto walioathirika kwa madawa ya kulevya (Drug abuse children)
15. Watoto waliolazimishwa kuingia kwenye ndoa (Forced marriage)

HOJA.
1. Jamii inajua nini kuhusu makundi haya ya watoto?
2. Mikakati gani ifanyike ili kuhudumia makundi haya ya watoto hasa vijijini?
3. Serikali ichukue hatua zipi ili kunusuru maisha na ongezeko la watoto hawa?
4. Njia gani zitumike ili kupata takwimu zinazoonyesha tatizo hili kila wakati kitaifa?
 
.......nani alaumiwe,mzazi, mlezi,mtoto, au serikali??
 
...........Pia inasemekana jiji la mwanza na dar ndiyo yanayo ongoza kwa kuwa na watoto wengi wa mitaani.
 
Slave sasa hivi kila upitapato makundi yote hayo ya watoto yapo. Serikali kupitia wizara husika lazima wadevelop kitu kunusuru hawa watoto. Na hilo group la chronically ill children ndio limetelekezwa kabisa mfano watoto ambao ni sero+ wanapata ARVs bila close supervisions na hata supplementary foods hakuna. Hawa wa magonjwa mengne ndio kabisa.
 
Esperance upo sahihi.hivi sasa hawa watu wa barrikc mining ndio wameagiza wataaramu wa kusaidia watu wanao zunguka migodi yao.juzi niliona tbc walikuwa wanaendesha kipindi kuonyesha namna wanavyo saidia chronically ill children angalau sasa inaweza kusaidia.
 
Back
Top Bottom