Watoto Wa Wanasiasa Kama Mtoto Kama Baba, Mtoto Wa Nyoka Ni Nyoka!!!!!!!!!!

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,674
View attachment 35494



Tabia ya jamii kukumbatia familia na jamii ya Watoto wa watu waliochafua jamii,nayo imetufikisha pabaya.Wahenga walishasema mtoto wa nyoka ni nyoka.Mwalimu alituachia nguzo ya amani na upendo.Lakini walio wachache wameichafua.

Kama baba alikuwa muadilifu atamfundisha mtoto kuwa mwadilifu[tizama hapo juu]

Tujuzane baadhi ya watoto na baba zao wa waliochangia kutuangusha kiamaadili.
 
Back
Top Bottom