Watoto wa vigogo na upendeleo wa ajira nyeti serikalini

Kumbe wako BOT! nilidhani wako NEC kwa Jaji Lewis Makame, hawa hawataiba kura pemba wala tarime, kwanza wote wako hapahapa dar tena wastaarabu sana. Kinachotuwangisha kichwa ni jinsi ya kulinda utu wa mtu mweusi.
 
waacheni wafanye kazi jamani.

sasa huyo mshikaji alomaliza form 4 unajuaje pengine alijiendeleza and now may be ana MSc yake etc.
 
waacheni wafanye kazi jamani.

sasa huyo mshikaji alomaliza form 4 unajuaje pengine alijiendeleza and now may be ana MSc yake etc.

Engineer hizo ni facts au protective speculations?

Haya mambo ya ku assume u make an ass of u and me.When you come come correct, no facts no right to speak.

Wamejazana sana sehemu moja. waswahili wanasema "Kula na kipofu usimshike mkono" or something to that effect.Sasa hawa watu na ulafi wao wanafanya nepotism na undugunaizesheni mpaka wasiokuwa na macho wanashtukia sasa.

Huwezi kutetea this disproportinate number of "big shots connected" people.It is no longer "know how" but pure "know who"
 
Haaa...if it is no longer know how but pure know who..peeps should stop crying coz (1) life is not fair and (2) those peeps should kiss arse in order to get to know who themselves so they can be or get where they want to be in life. I'm sorry if I sound rude and insensitive but such is life.
 
With such nepotism, favoritism and patronage being blatantly advocated as above no wonder we are where we are.

Can a person (ironically Nyani) writing such opportunistic and unprincipled words claim the right "kumkoma Nyani" ?

If we are to demand responsibility from our leaders, we must be ready to discard the benefits that we may receive from such irresponsibility, otherwise it will be sheer hipocrisy.

Kissing ass is for incompetents who want to substitute appeasement for performance.Usually such people are the ones who run the ship amok.Confident competent people will never need to kiss asses.

Using "life is not fair" is a weak argument indeed, for it can be used to justify any gross misconduct, including the Rwanda genocide, Darfur ethnic cleansing and the Holocaust.How would you like somebody advocating thuggery against your own family by "life is not fair"?

This is one of the weakest arguments I have heard here!
 
Mimi sioni kama kuna tatizo ikiwa hawa watoto wa wakubwa wana vyeti na wanaweza kazi na majukumu waliyopewa.
 
if we are crying out for peace then we must also cry out for justice.

equal rights and justice.
 
Hawa watoto wa Kamba ndiyo wale walio someshwa na Butiku kwa mfuko wa Nyerere Foundation ? Maana huyu Butiku naye ni fisadi wa aina yake .
 
Mimi sioni kama kuna tatizo ikiwa hawa watoto wa wakubwa wana vyeti na wanaweza kazi na majukumu waliyopewa.

Dotori,

Fine.Naku support kabisa.Tatizo ni kwamba kwa nini sehemu moja iwe na top families kibao? Hii inaleta shaka kuhusu issue nzima ya equal opportunity for all Tanzanians.Kumbuka BOT ndiye bankers bank Tanzania na anatakiwa kuendeshwa kwa integrity ya hali ya juu kama mke wa Kaizari.Hata kama wote wame-qualify (which is highly questionable according to the information provided provided) inaleta picha mbaya kuwaweka watu wote hao kutoka prominent families sehemu moja, kesho keshokutwa nikija mie kutoka Malampaka with equal credentials nikaomba kazi na kukosa nikisema nimekosa kazi kwa kukosa the correct last name mtaweza kunikatalia?

Tukumbuke vita dhidi ya rushwa haitakiwi kuondoa rushwa tu bali hata muonekano wa kuwa kuna rushwa.
 
With such nepotism, favoritism and patronage being blatantly advocated as above no wonder we are where we are.

Can a person (ironically Nyani) writing such opportunistic and unprincipled words claim the right "kumkoma Nyani" ?

If we are to demand responsibility from our leaders, we must be ready to discard the benefits that we may receive from such irresponsibility, otherwise it will be sheer hipocrisy.

Kissing ass is for incompetents who want to substitute appeasement for performance.Usually such people are the ones who run the ship amok.Confident competent people will never need to kiss asses.

Using "life is not fair" is a weak argument indeed, for it can be used to justify any gross misconduct, including the Rwanda genocide, Darfur ethnic cleansing and the Holocaust.How would you like somebody advocating thuggery against your own family by "life is not fair"?

This is one of the weakest arguments I have heard here!

First off, we are where we are because Waafrika Ndivyo Tulivyo!! Whether you like it or not, agree with it or disagree, hate it or love, that's the truth.

Nyani is my name and I have never claimed the right to the words "Kumkoma Nyani". I don't even know what hell it means. This is the only place I have seen it being used or rather tossed around like a piece of doo doo...Lol

You may dismiss kissing ass but trust me, it is not only incompetent people that do that. It is all and sundry! You'll be surprised but I know you know enough not to be surprised.

"Life is not Fair": Using it is not a weak argument but just telling the truth. It's all over the place. You don't need a 20/20 vision to see it. Let me ask you, do you really think life is fair in this world?
 
Je twaweza kuona connection ya matatizo na kashfa benki kuu na uwepo wa watoto wengi wa vigogo kwenye taasisi hiyo nyeti? Binafsi hadi hivi sasa najaribu kujiambia kuwa hayo majina ni ya kutunga tu na watu hao hawapo Benki Kuu. Najaribu kujilazimisha kuamini kuwa hakuna watoto au ndugu wa kina Lowassa Benki Kuu.

Kama wapo binafsi ningependa kujua wako vitengo gani na wana position gani ili kujua kama maamuzi yao yanaweza kwa namna fulani kutiwa kiza na nafasi za wazazi au ndugu zao serikalini.

Hadi hivi sasa jina ambalo linaweza kunishtua sana ni la Lowassa, Sumaye, na Mkapa. Tunaposikia kashfa Benki Kuu na upotevu wa mabilioni ya shilingi hatuna budi kujiuliza kama hawa "ndugu zetu" waliona jambo lolote na walifanya nini kuliumbua na kuhakikisha linakomeshwa?

Hofu yangu ni kuwa kama ni kweli hawa wapo na wengine ambao hawatumii majina ya ubini wa familia zao basi uwezekano kuwa hawakujua mambo ya Tangold, Meremeta, Deep Green na makampuni mengine kama 40 hivi yaliyoanzishwa ili kuchota fedha za Umma itakuwa ni nasibu ya mwaka!

Binafsi naamini kwa moyo wangu wote Watanzania tumeshindwa kuisimamia Benki Kuu na short of firing the senior management hatuwezi kufika mahali popote pale.

Na wakishawatimua wote hao, serikali lazima iwahamishe na kupangua nafasi zote za makao makuu ya benki kuu na ikibidi walete watu toka nje kuja kuiendesha Benki Kuu kwa Mkataba maana sisi wenyewe tumeshindwa!
 
Pundit,
Mie nakubaliana na hoja yako. BOT kama Wizara ya mambo ya Nje (kuna mjadala kuhusiana na watoto wa vigogo katika wizara hii)ni sehemu zenye mvuto(Nimekosa msamiati sahihi).
Naomba tujaribu kuliangalia suala hili objectively.
Je watoto hawa walifanya waliomba kazi kama watu wengine? Je, kuna ushahidi kuwa walipewa preferential treatment? Je, wanamudu kazi hizi? Je, wana vyeti husika?
Kama kuna ushahidi kuhusu utendaji wao wa kazi au preferential treatment, then hayo ndio mambo ya kujadili.
 
Labda tuiangalie from Conspiracy theory point of view. Inawezekana pia wazee wamewapandika watoto hawa in strategic positions kwa lengo la kujitengenezea line zilizonyooka katika michongo yao ya ufisadi.
 
First off, we are where we are because Waafrika Ndivyo Tulivyo!! Whether you like it or not, agree with it or disagree, hate it or love, that's the truth.

Nyani is my name and I have never claimed the right to the words "Kumkoma Nyani". I don't even know what hell it means. This is the only place I have seen it being used or rather tossed around like a piece of doo doo...Lol

You may dismiss kissing ass but trust me, it is not only incompetent people that do that. It is all and sundry! You'll be surprised but I know you know enough not to be surprised.

"Life is not Fair": Using it is not a weak argument but just telling the truth. It's all over the place. You don't need a 20/20 vision to see it. Let me ask you, do you really think life is fair in this world?

Nyani,

I hear you loud and clear.You transmitted your fundamental difference with me and demonstrated a rigid finality coupled with a bleek despairing position.

Based on the above, I do not think there is a need for any further futile attempts at understanding or convincing each other.
 
The best y'all can do is whine behind the backdrop of the internet. Waafrika Ndivyo Tulivyo.
 
Nyani,

I hear you loud and clear.You transmitted your fundamental difference with me and demonstrated a rigid finality coupled with a bleek despairing position.

Based on the above, I do not think there is a need for any further futile attempts at understanding or convincing each other.

On this one you are absolutely right partner and history has and will continue to prove me right. Happy New Year by the way and please convey my wishes to the gang over at YA.
 
kwani hawa ndio waliosababisha tuwe masikini kweli? ni vyema wakakaa humo kuliko wakianza wizi wa kura na kuingia bungeni, uwezo huo wanaopia.

nenda kijijini kwenu kagombee ubunge utashinda tu, ukikomaa kidogo utaingia kamati ya madini haujaula tu? mbona zitto kawini, usiogope.
 
eddy,

Hawa wanachangia umaskini, kuanzia na umaskini wa mawazo na ulimbukeni kuwa "BOT ndiyo pana mvuto na familia zetu zina influence kwa hiyo tulundikane wote pale" mpaka umasikini wa kutojali principles za "equal opportunity" na "semblance of non-corrupt practices"

Hawa wanachangia umasikini kwa sababu familia zao zimepata escape velocity na wanaweza kufanya mambo mengi tu na kuwaachia wasio na options miofisi ya kuajiriwa, lakini wapi kila mtu anataka ubwete.

Hawa wanachangia umaskini kwa sababu careful observers wenye standards za kimataifa wakiipima BOT wataona uozo mtupu kabla hata ya kuingia kwenye financial books.At the end of the day anayeumia mwananchi.

Hawa wanachangia umaskini.Chukua mfano uliotolewa hapa wa kijana wa Kigoda ambaye kwa mujibu wa habari tulizopewa amefanya vibaya O-Level na hakuna rekodi ya chochote zaidi ya hapo, lakini kapewa kazi.Wengine wamekuja na credentials zaidi hawajapewa.Kesho akija economic hitman na mi-chart iliyopikwa watu wa jinsi hii wataweza kutetea maslahi ya taifa?

Hawa wanaleta umaskini kwa ku-cultivate image ya upendeleo hata kama hamna upendeleo.
 
Hivi ktk nchi zilizoendelea hakuna upendeleo kweli?
Kwa uzoefu wangu mimi nimeuona upendeleo kila nchi niliyoishi na kila sehemu niliyofanyia kazi.....
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom