Watoto wa Vigogo/Mafisadi wakianza kutekwa!

Shida ni kuelezana ili na mimi niwaabie ni kwanini nimefanya hivyo!
Kwasabau si wana jf wameshagunduwa kuwa si kweli mimi ni kichaa?Kama tunaheshimiana hapa kama watu wazima ni bora tu treatiane kama ilivyo..La sivyo huu nauita ni UONEVU.
Kwasababu mijadala ambayo ninaianzisha huwa ina make sense..Sasa ninayochangia kama mimi si make sense basi tuulizane!
Kama mlivyoifunga ama kuihamisha ile thread ya Count down ya EPA..Na huku mkijuwa wazi kuwa Rais hajatowa ripoti.
Sasa hata ile mada haina nguvu tena!
NIKISEMA JF IMEVAMIWA NA MAFISADI MTABISHA?

Nimeipenda hiyo yenye red.
 
Exactly what I expected from you- a huge diarrhoea and an astonishing consipation of ideas like always. Any person with your IQ should not even be communicating with me in anyway, your talk is cheap and so are you, am not in your low class and you wont be able to drag me down.
Keep talking maybe someday you will say something intelligent.

Kwi! kwi! kwi! kwi! kwi Aaaaaahhhhhhhgggggrrrrr!

I Love JF, haya mkuu tuendelee kukata ishus taifa liko njia panda hili mkuu! Matusi uanze wewe halafu lawama unirushie mimi, Eti wewe una high class, na intelligent wallahi haya maajabu ya Musa?

High classs? basi siiitaki tena hiyo hiyo high class keep it mkuu! Jino hulipwa na jino you got that one right!
 
Silencer Silencer is silencing chaos! Moderator Join Date: Tue Jul 2008

Banned For 3 Days


Quote:
Quote: Originally Posted by jmushi1

Mods hii ipelekwe kwenye maoni/malalamiko!
Huyu mtu kila mara issue muhimu zikija yeye ni chadema tu!
Huyu ni wa kulimwa risasi huyu.
Kwani wewe mpumbavu huoni nchi imeuzwa hii we hayawani!
Kwanini hafungiwi huyu mtu?
Kwanini unatuletea vurugu hapa?
Nani kasema kuna uchaguzi mwaka huu?
Kwanini manmruhusu huyu mtu aharibu forum na huku mnasema jmushi hivi ama vile?
Kama ni mijadala a chadema iko ya kutosha jamani.
Kama hujuwi uliza uambiwe mijadala hiyo iko!
Ama imefutwa?

The gentleman has been banned for three days. No warning was given. JamiiForums will not tolerate the threat or the suggestion that violence can be used against any member of this forum or anybody for that matter. We can tolerate or excuse some languages but some lines should not be crossed or even seem to have been crossed.
 
Kuna threads hapa JF zinaanza vizri sana lakini baadaye huishia kuwa za jalalani. Dawa ni kutozisoma wala kuzitolea mchango zikishaanza kubadilika rangi. Nawashangaa wote wanaoshupalia ubishi unaoendelea hapa.
 
[S



Mkuu Kichuguu,

Heshima mbele mkuu, nilidhani utakerwa na the provocation hapo juu against me, lakini umekerwa na my self -defense? That is wasup mkuu!


Marshall,

Unajua kuna philosophy inayosema kichaa akikuchukulia nguo zako usimfukuze ukiwa uchi.
 
Back
Top Bottom