Watoto wa Vigogo/Mafisadi wakianza kutekwa!

Hii ya kutrack simu ni very easy inaitwa Triangulation, inawapa exact locations up to within metres as long as simu iko on...

Ok sawa mkuu.

Hio Triangulation kama nafahamu uzuri ni pale panapokuwa na masts tatu kwa pamoja na mwenye simu akawekwa katikati na hio inakuwa easy kuipata simu.

Nafikiri pia accuracy itavary kutegemea na namba ya masts zilizopo. Kwa mfano ukiwa katikati ya Jiji la Dar kwa mfano, kama kuna masts za kutosha unaweza ku-track simu kwa zaidi ya mita 100 na kama eneo lina masts chache basi uwezo wa ku-track hupungua hata kufikia kilomita 10.

Nna imani huko siku za usoni kutakuwepo services hizi na watu wanaweza kuona namba za mikoani usoni pa mobile zao kama upo Arusha unaona namba yake na zingine.
 
Sasa tuangalie aina za utekaji nyara.

1. Daraja la kwanza au first degree- ni pale watekaji nyara wanapomteka mtu au watu na kukaa nao kwa zaidi ya masaa 12. Hapa huwa hakuna mjadala kwani mtekwaji anaweza kuteswa na hatimae kuuliwa.

2. Daraja la pili au second degree- ni pale mtekaji nyara anapokuwa tayari kwa mazungumzo kwa ajili ya kulipwa chochote na humuachia mtekwaji nyara ndani ya masaa 12.

Utekaji nyara wa daraja la pili ndio muhimu sana kwani huweza kushirikisha madai ya fedha zote za UFISADI endapo walitekwa nyara ni watoto au ndugu wa MAFISADI, au jaribio la kuishinikiza serikali kufanya jambo fulani ambapo masuala kama ya UFISADI wa EPA, madini na mengine yana-fit hapo na pia jaribio la kutaka kumjeruhi mtekwaji kwa ajili ya kumtia ulemavu wa maisha.

Kwa hio lolote linaweza kutokea. Je kuna anaefahamu aina zingine za utekaji nyara ambao uko motivated na fedha?
 
Kwa Tanzania, vyombo vya dola vinatambaa wakati wahalifu wanakimbia kwa kupaa. Kinachotakiwa kwa vyombo vyetu vya dola kuhakikisha kwamba teknolojia na elimu yao inakwenda sambamba kama si kasi zaidi ya uhalifu badala ya sasa ambako uhalifu unakwenda kasi zaidi ama sambamba na teknolojia inavyoingia kutokana na utandawazi na muingiliano wa mataifa. Tanzania inaonekana kimbilio la kila aina ya uhalifu na hadi hapo watawala watakapoamka na kukumbuka shuka wakati kumekucha
 
Majambazi nao wengi sio wajinga wanajua wapi pakugusa na wapi patanuka, kuna vitoto vingine vya vigogo kutekwa ni shida zaidi ya faida kwa majambazi au hawa sijui Black mafia, maanake wanajua vijiwe vitavyo waka moto... These guys who do these deeds are not stupid, they most know wat they are doing....
 
Kwa Tanzania, vyombo vya dola vinatambaa wakati wahalifu wanakimbia kwa kupaa. Kinachotakiwa kwa vyombo vyetu vya dola kuhakikisha kwamba teknolojia na elimu yao inakwenda sambamba kama si kasi zaidi ya uhalifu badala ya sasa ambako uhalifu unakwenda kasi zaidi ama sambamba na teknolojia inavyoingia kutokana na utandawazi na muingiliano wa mataifa. Tanzania inaonekana kimbilio la kila aina ya uhalifu na hadi hapo watawala watakapoamka na kukumbuka shuka wakati kumekucha

Tatizo ni kuwa kuna few corrupt officers na hii sio Tanzania ni karibia dunia nzima, mfano mzuri ni about 2 years ago kulikuwa na habari kuhusu Detectives wa NYPD kuwa ni hitmen wa Mafia....Sasa how do we combat this? Cha kwanza police department yetu inabidi ifanyiwe usafi wa hali ya juu, wapewe mafunzo ya kuendana na 21st Century threats.
 
Naomba hao vijana wa kazi waanze kuwateka watoto wa Chenge, Mkapa, RA, Mgonja na Karamagi mpaka mahela yetu na migodi yetu virudishwe.
 
kuna mawili;
1) hao majambazi ni watu wa kawaida, kwa hiyo ni rahisi kwao kuteka watoto wa watu wa kati kwa vile watoto wao huwa hawana ulinzi mkubwa na pesa watakayopatiwa inaridhisha.

2) majambazi wanaongozwa na tajiri/fisadi mmmoja, hapa ndio pagumu, na majambazi hawatasita kumteka yoyote yule ambaye wanamuona atawapatia pesa nzuri kaw vile wanajua polisi wako mikononi mwao.


ila naamini kama jeshi la polisi likiamua kweli kweli, kuwakamata hao majambazi hawawezi kushindwa, unless kama habari inavyo imply wawe hawapo interested kwa vile wanaotekwa hawako serikalini
 
Kutoka "Uwazi"

Habari hii niliisikia siku chache zilizopita. Naona bado iko hewani:


Mtandao mkubwa wa majambazi wanaotumia mbinu mpya za utekaji nyara uliopachikwa jina la Black Mafia umeibuka katika Jiji la Dar es Salaam na kuzusha hofu kubwa ya usalama wa raia na watoto wao......

My Take:
Endapo jambo hili linaanza kufanyika kwa watu wa mbali na kwa kutumia teknolojia ya mawasiliano kama phones etc na internet (which is possible). Huko tunakokwenda tujiandae kusikia watoto wa vigogo na watu wanaotuhumiwa ufisadi watakapoanza kutekwa na familia zao kudaiwa fedha za kuwagomboa. Sijui ni kwa kiasi gani Jeshi letu lina uwezo wa kutrack na kufuatilia mawasiliano ya namna hii ikiwemo live GPS positioning.

Vinginevyo, miezi michache inayokuja especially towards 2010 na kwa kadiri watu wanavyozidi kukata tamaa tujiandae kusikia matukio makubwa namna hii.
And being an "Inside Job" like many others,naelekea kufikiri hii kitu inawezekana kabisa hapa Tz. Kama utakumbuka kuna 'fununu' kuwa yule Bw.Aliye staafu yule.... alikuwa na kikundi maalumu cha Ujam...na kilifanikiwa kwelikweli.
**Mungu aepushiye mbali,lasivyo yale ya 'RANSOM' tutayaona pale Dar,na miji mingine mikubwa Tz.
 
Hii mada haihusu watoto wa viongozi kwa maana inakoelekea.....
Hivyo siyo lengo langu kutarget watoto wa viongozi, watawala, au wafanyabiashara wakubwa nimejaribu kufikiria tu for few seconds like a criminal would.
.....and this group of people is what makes Tanzania isn't it Mz.MwnKjj.??..i mean these are the WENYENCHI syo??Their Money will always talk!!
kwasababu kama unazungumzia na akina sisi kutekwa nyara basi itakuwa ni kwaajili ya Imani zetu zile...,unajua tena yale mambo yetu yale ya ngozi,figo ya kushoto,sehemu za siri.....Mhh,inatisha.
 
Hivyo siyo lengo langu kutarget watoto wa viongozi, watawala, au wafanyabiashara wakubwa nimejaribu kufikiria tu for few seconds like a criminal would.

Hivi bado tu kuna ambao hawaelewi haya maneno, mbona naona yako very clear, au?
Mimi nilipoingia hii topic kwa kufutaa kichwa chake niliamini kuwa kuna watoto wa vigogo wametekwa nyara, lakini nimeambiwa sio kweli.
 
Mambo ya UADILIFU ni "RELATIVE" sio "ABSOLUTE". Nashindwa kusimama popote nikamtetea mtu yeyote kuwa ni MWADILIFU. Ni JULIUS peke yake aliyeikaribia SIFA hii adimu.
 
huo msako wanaosema polisi wa nyumba mpaka nyumba, mitaani kwetu wamepita leo wamewachukua watoto wa kijiweni,wacheza kamali na wauza bangi, sasa sijui hao ndio watekaji watoto,tunasubiri labda tutasikia hao mafia ndiyo wameshikwa.
 
Hivi bado tu kuna ambao hawaelewi haya maneno, mbona naona yako very clear, au?
Mimi nilipoingia hii topic kwa kufutaa kichwa chake niliamini kuwa kuna watoto wa vigogo wametekwa nyara, lakini nimeambiwa sio kweli.
Mkuu, Are You Thinking what I'm Thinking??
 
Nimeshitushwa sana kuona yamefutwa, kwa sababu mimi nilichofanya ni kujibu ujinga usiokuwa na ukweli, ambao wewe unaoneakana kuuuvalia njuga kuwa ni ukweli nilichokuomba ni kwamba wewe uweke ukweli ili na mimi niongeze ukweli zaidi,

Ya kukuomba radhi hayo ni pure nonesense, na I hope one of this days utakaa chini na kuelewa kuwa hapa sio mahali pa kulilia kuombwa radhi unaposema uongo dhidi ya Mama Kilango, au kiongozi yoyote wa taifa, unachotakiwa ni kusema ukweli.

Kwenu Mods ningewaomba kwamba badala ya kufuta ujinga wa watu hapa wawe wanapewa adhabu watu wanaozusha uongo, waulizwe ushahidi maana hii ya kufuta tu inawapa nafasi kesho kuandika uongo tena bila ukweli, halafu hao hao tena wanadai kuombwa radhi,.... radhi .............my foot!!

Msimamo wangu ni ule ule, matusi ya nguoni dhidi ya viongozi waadilifu, mimi ni kukutwanga huko huko kwenye personal, jana nimekupa a big break, sasa rudia tena leo uone, si unakumbuka last time ulitulia naona sasa umeanza tena! na ule ule ujanja wako ujinga ujinga mtu mzima siku zote you ahve to act kama mtoto mdogo eti kwa sababu ni internet aibu bro!

Mbona sielewi unachokizungumzia? Una ushahidi wowote kuwa mimi nimewahi kusema neno moja baya kuhusu Mama Kilango?
 
nI UTABIRI/UKWELI AMBAO UNAWEZA KUTIMIA NDANI YA SIKU CHACHE ZIJAZO!!!!HALI NI MBAYA NDUGU ZANGU
 
Labda iwekwe wazi maana ya kiongozi muadilifu, maana sometimes ni vyema tukaelewa kuwa kuna maana nyingi sana za maneno tunayoyatumia kila siku, au inawezekana mtizamo ukawa tofauti kati yetu bina-adam,

Meaning kwamba tukitoka kwenye ma-box yetu, tutaona kuwa wengine pia wana haki ya kuona tofauti na sisi, lakini mwamuzi wa yote ni hoja tu na sio nani amesema au nani hakusema!
 
Labda iwekwe wazi maana ya kiongozi muadilifu, maana sometimes ni vyema tukaelewa kuwa kuna maana nyingi sana za maneno tunayoyatumia kila siku, au inawezekana mtizamo ukawa tofauti kati yetu bina-adam,

Meaning kwamba tukitoka kwenye ma-box yetu, tutaona kuwa wengine pia wana haki ya kuona tofauti na sisi, lakini mwamuzi wa yote ni hoja tu na sio nani amesema au nani hakusema!

Bado nasubiri ushahidi wa neno baya angalau moja nililowahi kusema kuhusu Mama Kilango toka kwako.
 
jmushi.. jaribu kukumbuka kama ulikuwa unachangia mada iliyopo au ulikuwa unachangia alimradi unachangia kilichopo mawazoni mwako kisichohusiana na mada? Kama ni hilo la pili jaribu kutafuta ni wapi zimewekwa, labda wamejaribu kuziweka kwingine, au kuzifuta au n.k Ukiwa kwenye mada fulani changia mada hiyo. Za kwangu zimefutwa/hamishwa/ na kupelekwa kwingine.. na ninaamini ma MoDs walikuwa na sababu.
 
Back
Top Bottom