Watoto wa vigogo huwa hawafeli na wakifeli nwanawini maisha kutumia majina ya wazazi wao

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Nimeona watu wengi wakihaha ima kushangaa au kufurahia kufeli kwa Mwanaasha Kikwete. Zamani kushindwa katika masomo kulimaanisha kukosa fursa kwa ajili ya masomo ya juu au hata kazi nzuri. Siku hizi hilo si tatizo tena. Ukiwa na baba au mama mwenye jina kubwa utashinda kwa njia nyingine kama ukishindwa darasani. Waone akina Januari Makamba na Emanuel Nchimbi utaelewa ninachomaanisha.
 
ngoja wabishi waje,lkn imetulia sana!
 
Binafsi Mimi sioni muujiza wowote huyu mtoto kufeli,kwenye familia nyingi watoto wa hivi huwa hawakosekani.
Mbona yule Salama ni Dr na degree yake ni ya Muhimbili,mbona Ridhiwani ni Lawyer ?

Unless mtu aseme ukoo wao wote wana v 1.

Halafu kumbuka huyu ni MwanaAsha Jakaya Kikwete+She is a Woman/Girl+She is beautiful.
 
Back
Top Bottom