Watoto wa siku hizi wakikusalimia umeumia..!!

Namna hiyo mkuu, ungekavunja mguu tu...hakina adabu

alitakiwa amkate kidole kwa meno halafu akitafune na kukimeza halafu amuambie nenda kawambie wenzako nakuja sasa hivi. wote wangetoweka. Mia
 
Sijui hata hii tabia wameiga wapi. utasikia shikamoo kaka...naomba shilling mia. Mwingine utasikia shikamoo kaka naomba uninunulie chips mayai. Mwingine tena shikamoo kaka naomba uninunulie soda baridi. Mwingine utasikia shikamoo kaka naomba namba yako ya simu. Yaani kila sehemu utadhani wamefundishana. Mia

nchi yenyewe ombaomba unategemea nn. miaka 50 ya omba omba
 
Sijui hata hii tabia wameiga wapi. utasikia shikamoo kaka...naomba shilling mia. Mwingine utasikia shikamoo kaka naomba uninunulie chips mayai. Mwingine tena shikamoo kaka naomba uninunulie soda baridi. Mwingine utasikia shikamoo kaka naomba namba yako ya simu. Yaani kila sehemu utadhani wamefundishana. Mia

wametoa wapi? mbona jibu lipo wazi juzi takwimu zilitolewa tumeshika nafasi ya kwanza africa na tatu kidunia kwa kupewa misaada. unacho shangaa nini hapo sasa hiyo ni simple mathematics ambayo haiumizi kichwa mkuu.
 
Vinakera sana hivyo vitoto....kuna siku nipo kwa daladala pale faya kikaja kimoja 'shikamoo mjomba naomba msaada' nikakipa jero mara na kingine kikaja gafla eti 'kaka na mm naomba hela nikale' nikakiambia sina tena kikamaindi kikapiga kioo na kunitemea mate....kudadadeki nilipata moto nikamwamuru dereva asimamishe gari nikakafukuza nikakashika na kumpakia humo ktk daladala gonga sana makonzi toka faya nilienda kukashusha bamaga...tena baada ya abiria kunisihi sana kwamba adhabu imemtosha......ningeenda kukala kiboga pumbaf sana....mara zote huwa sipendi dharau..

hahahahahahaha
 
Back
Top Bottom