Watoto wa siku hizi wakikusalimia umeumia..!!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,490
54,884
Sijui hata hii tabia wameiga wapi. utasikia shikamoo kaka...naomba shilling mia. Mwingine utasikia shikamoo kaka naomba uninunulie chips mayai. Mwingine tena shikamoo kaka naomba uninunulie soda baridi. Mwingine utasikia shikamoo kaka naomba namba yako ya simu. Yaani kila sehemu utadhani wamefundishana. Mia
 
Wakikuamkia ujue lazma watakuchomekea inshu! Utadhani wametumwa! Mi wale wa junction ya morroko ndo wananiudhi mpaka basi, unastukia tu washavamia kioo cha mbele cha gari wanakiosha, ukiwafukuza wanavizia wakati taa zimeruhusu wanamwagia kioo maji ya povu, inakubidi uwashe wipers ndo uone fresh! Noma sana hawa!
 
Hata mimi hilo nimeliona hilo tabia!
 
Sijui hata hii tabia wameiga wapi. utasikia shikamoo kaka...naomba shilling mia. Mwingine utasikia shikamoo kaka naomba uninunulie chips mayai. Mwingine tena shikamoo kaka naomba uninunulie soda baridi. Mwingine utasikia shikamoo kaka naomba namba yako ya simu. Yaani kila sehemu utadhani wamefundishana. Mia
UMENICHEKESHA SANA, ILA NI KWELI HIYO TABIA IKO SANA NA HAWA WATOTO (wengi wao ni hawa wanaoachiwa wazunguke/wacheze mtaani anzia asubuh hadi usiku) HAWANA AIBU WALA ADABU,ila hao wanaoomba namba za simu!!
 
wakikuamkia ujue lazma watakuchomekea inshu! Utadhani wametumwa! Mi wale wa junction ya morroko ndo wananiudhi mpaka basi, unastukia tu washavamia kioo cha mbele cha gari wanakiosha, ukiwafukuza wanavizia wakati taa zimeruhusu wanamwagia kioo maji ya povu, inakubidi uwashe wipers ndo uone fresh! Noma sana hawa!
hahahaaaaaa
 
Wakikuamkia ujue lazma watakuchomekea inshu! Utadhani wametumwa! Mi wale wa junction ya morroko ndo wananiudhi mpaka basi, unastukia tu washavamia kioo cha mbele cha gari wanakiosha, ukiwafukuza wanavizia wakati taa zimeruhusu wanamwagia kioo maji ya povu, inakubidi uwashe wipers ndo uone fresh! Noma sana hawa!

Hivyo ni mbaya sana na inawezakusababisha ajali kwani viongozi husika hawalioni hili? Si watumie migambo wawaondoe au hao migambo wanapelekwa sehem zenye rushwa tu kama kufukuza machinga k.koo?
 
Si heri wasalimie ndio waendelee,wengi wanaenda straight to the point,kha mi mpaka naenda chuo baba yangu ananiambia punguza hzo shikamoo lakini wa leo unawakumbusha kusalimia,
 
Kama hawana mpango wa kukuomba chochote wala shkamoo huipati
 
Wakikuamkia ujue lazma watakuchomekea inshu! Utadhani wametumwa! Mi wale wa junction ya morroko ndo wananiudhi mpaka basi, unastukia tu washavamia kioo cha mbele cha gari wanakiosha, ukiwafukuza wanavizia wakati taa zimeruhusu wanamwagia kioo maji ya povu, inakubidi uwashe wipers ndo uone fresh! Noma sana hawa!

hahahaaaa...!! hata pale magomeni. ni balaa...!! Mia
 
shikamoo kaka, naomba ndulele

hivi mkuu ndulele si yale matunda yanayo ota polini yapo kama nyanya chungu. ukilamba chunguuu wanasema eti ni sumu. kuna vingine vidogo vidogo vya nviringo na nyingine kubwa kubwa. zikikomaa zinakua njano. ndo hizo mkuu au. Kama unataka ndulele chukua. hahahaaaa....!!! Mia
 
UMENICHEKESHA SANA, ILA NI KWELI HIYO TABIA IKO SANA NA HAWA WATOTO (wengi wao ni hawa wanaoachiwa wazunguke/wacheze mtaani anzia asubuh hadi usiku) HAWANA AIBU WALA ADABU,ila hao wanaoomba namba za simu!!

hehe..!! wewe hujawahi kuombwa au kuomba namba ya simu? Mimi naombwa sana. mia
 
Sijui hata hii tabia wameiga wapi. utasikia shikamoo kaka...naomba shilling mia. Mwingine utasikia shikamoo kaka naomba uninunulie chips mayai. Mwingine tena shikamoo kaka naomba uninunulie soda baridi. Mwingine utasikia shikamoo kaka naomba namba yako ya simu. Yaani kila sehemu utadhani wamefundishana. Mia
Shikamoooo kaka,naombaaaaaaaaa...............
 
Malezi mabovu.
Alafu kama wanaona wakubwa zao kutwa wakiomba omba vocha nachips unadhani wao ndio wataacha? Hili swala la kuomba omba ni janga la kitaifa, si wakubwa wala si wadogo, wote ni wale wale.
 
Wamerithi kwa wazazi wao' wale wanigaie book jero na dear nitumie voucher nimeishiwa salio!!
 
Back
Top Bottom