hahaha asee labda kanamuona mkuu daily kwa luniga na wazunguMwanangu siku moja aliniuliza "Hivi JK ni Rais wa Daslam au Waziri wa mambo ya nje?" Sasa sijui aliipata wapi hiyo coz hata sisi watu wazima hatumwelewi huyu Mkuu wetu.
<br />Mwanao ni wa kike au wa kiume? Samahani sina nia mbaya!