Watoto wa rais

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Katika miaka ya karibuni watoto wa rais ambao wamekuwa na ushiriki wa moja kwa moja wa harakati za kisiasa za baba zao ni pamoja na watoto wa Gaddafi, Saddam na Kikwete.
 
Umesahau wanae Mubarak waliokataa baba yao ajiuzulu.
 
Mwanae Hosni, ambaye ndiye alikuwa arithishwe ufalme alipoona mambo magumu aliachia ukatibu wa chama mapema kabla baba yake hajatangazwa kukimbia ikulu ya Cairo.
 
ndiye aliye mchakachulia baba yake barua ya kujihuzulu
kumbe hujui kuwa ndiye chanzo cha baba yake kushindwa kujihuzulu siku amabayo ilitegemewa na akila mtu,alikuwa na uroho na madaraka ..lol
Mwanae Hosni, ambaye ndiye alikuwa arithishwe ufalme alipoona mambo magumu aliachia ukatibu wa chama mapema kabla baba yake hajatangazwa kukimbia ikulu ya Cairo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom