Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 123
Haya watoto wa mjini hii mpya kazi kwenu ni ya week end,imetokea leo.
Ile mutoto NDAMA MUTOTO YA NG'OMBE (Ndama,al-maaluf Dalali wa magali pale Lumumba) na mwenzie aliye kuwa Lupango juzi juzi kwa wizi wa gari huku Arusha PAPA KIZAI ZAI (Mtanga) wamekamatwa na polisi na wapo Central toka asubuhi,wanashikiliwa kwa tuhuma za kutuma vijana wawili kwenda kuua na kuwaletea mwili wa ALBINO.
Vijana hao walitiwa nguvu na jeshi la polisi na baada ya kipigo kitakatifu walitaja watu walio watuma kupeleka mwili huo wa Mlemavu huyo.
Mpka saa nane mchana wa leo Vibosile hao walikua bado wanashikiliwa na jeshi la polisi,na licha ya kibano kikali waliendelea kukataa kwamba wao hawausiki kabisa na michezo hiyo LABDA KUNA MTU au WATU WANAJARIBU KUWAUNGANISHA NA MAKOSA HAYO.
Je huu nao ni utoto wa mjini?
Ndama ana tamaa sana, alimzima mshikaji wangu discman long time, enzi hiyo brotherkaka yake mshkaji wangu karudi kutoka Greece / Italy (watu walikuwa hawajazibukia States bado) basi akamtupia discman acheze CD.Enzi hiyo discman is a novelty, basi Ndama akaomba asikilize, akatoweka nayo, kuanzia hapo story kibao, mpaka mshkaji akamtia kituoni polisi makuti pale.
Schadenfreude is never my style but frankly I am surprised it took this long for Ndama, his azz shoulda been in jail a long time ago, mazishi mkubwa.
Ndama Shaaban ana tamaa sana na wala sishangai kusikia hizi habari.