Watoto wa Mjini Dar

Kule Ilala kuna timu zaNungu, Cosmo, Juguno Mehu

Duh! Masatu umenikumbusha mbali sana bro, yaani enzi zile za kina Magram na Cosmo, Marijani Mwamanyema Rajabu na Safari trippers, na msondo afya?

Mkulu Gt vipi mkulu Spencer alikuwa mshikaji wako nini maana au ndugu, maana hayo maeneno yako yalikua ndiyo makazi yake sana na kina Marcochela, mtoto fundikira na baharia Chelu au?

Thread saafi sana hii lete vitu wanangu! Mswahili uko wapi mkulu wangu njoo tukumbuke zamani mjini bros!
 
marehemu makochera(mark joe)ni dume la kwanza kuliona limesuka nywele,watu walikuwa wanasema mtoto,alaafu alikuwa na mshikaji wake kazimoto hizi mtu zilitesa sana motel agip disco
 
Fundi unapajua Mission Quarters mwanangu, wewe hata mchuzi kwa chapati wa SAIGON haukufai maana unaenda wayy baaack. Mambo ya Uhuru Mchanganyiko kabla ya Benjamin Mkapa na ukuta ule.

Uhuru Mchanganyiko siyo? Wadogo zangu walisota hapo miaka ya 80 wakisoma Tuition kwa mwalimu Njooka. Sijui bado yupo au alihama? Alikuwa anajisifu kuwa ukisoma kwake basi karibu asilimia 100 ya wanafunzi wake wanakwenda form 1. Miaka hiyo badala ya kuimba "Let's go dancing, ohh lalala" sisi twaimba "Lete nazi nafungu la dagaa..."
Marijan Shaaban na Mzee Makasy waliweka vibao vilivyochezwa hadi na watu disco. Nakumbuka enzi za Bamping Marijan aliweka kibao "Hanifa" na Makassy akaweka baadaye "mambo bado". Sasa hivi miziki imebadilika sana. Kuna ya dansi kwa wazee na kuna ya vijana "hip hop". Ukisikia mikono juuu, unaoandisha Twanga pepeta yako juu.
Miaka ya 80 mshikaji wangu tulikuwa tukikutana likizo, ananipa hizo story za Kiboko msheli na fimbo zao. Pia hiyo na refa kuchezesha mpira akiwa kavaa sime nilicheka sana na kufikiri ni uongo, kumbe kweli. Asanteni kwa story.
 
Hivi kuna mtu anajua hawa mazungu waliishia wapi

ZUNGU MARVIN wa magomeni

na bwa MDOGO CHALA BOY

bila kumsahau JUME wa ilala magorofani

mara ya mwisho nilisikia kaachiwa from jela ya Angola huko Unyamwezini

mkishanijibu hayo nauliza hivi....

Je ni kweli BABU MTAMA MCHUNGU alifariki au ndio zuga tuuu?
 
Duuh....

Kijana mbona wewe unauliza watu wa MASHATI tu !?

Ila huyo bwana unaye Mwita DOGO mambo yake makubwa mno ( waulize watu wanao kaa karibu ya nyumba yake pale LINDI STREET) bado anaendeleza mambo huko juu.

Babu mtama kwa ufahamu wangu yuko na hajafa bado ila hapa sio mahara yake.
 
Black Moses, Banza Mchafu, n.k. Enzi za matangazo ya sinema, Avalon, Drive-Inn, Kwa Wakubwa tu.
 
Hii thread ni ya watoto wa mjini ambao ni members wa JF

Wakuja msihofu sana maana hatutowabagua kama Dar palikuwa ni transit lakini ukweli ni kuwa Dar ina wenyewe na wenyewe ndio sisi na tunajuana

haya nani kati yenu hajamuuzia FILIPINO pale stendi nyuma ya Steak Inn(kabla hajahamia kule relwe) CD na mambo ya electroniki?

By the way huyo FILINO mwenyewe alikuwa ni wa kuja

Mtoto wa mjini alikuwa hayati Ditopile wa Mzuzuri, wewe wa kuja tuu!
 
Duuh....

Kijana mbona wewe unauliza watu wa MASHATI tu !?

Ila huyo bwana unaye Mwita DOGO mambo yake makubwa mno ( waulize watu wanao kaa karibu ya nyumba yake pale LINDI STREET) bado anaendeleza mambo huko juu.

Babu mtama kwa ufahamu wangu yuko na hajafa bado ila hapa sio mahara yake.

Ba CHALA mbona tuliambiwa kuwa alipotoka SHAMBA KUBWA aliwatapeli jamaa pesa zao na aliposhuka MINAZI MIREFU akatamba sana kuwa ana kama dola Laki na nusu na Ilala pamoja na vitongoji vyake ililijua hilo...na kama kawaida wazee wa Msimbazi wakamfanya dili ikifika ijumaa tuu hao. Lakini wazee wa kule KILWA RD hawakuambulia kitu maana CHALA BOY alikuwa na pesa tuuu mpaka alipoenda chimbo hukooo SINZA KWA MA BRAZAMENI

Pesa zilipoisha inasemekana alikuwa ana funga sana kwa mama ntilie nazaidi ya yote kule BURUDA nako alishakuwa wanted na UBATANI nako alikuwa anakuona kama kituo cha polisi

Mara ya mwisho nilisikia bachala alionekana kwenye maskani ya watoto wa Kibongo -Pahar Ganj,pale Green Guest House,-Delhi India na sijui kama alipona maana nako nasikia noma tupu

Jamani nimeuliza baharia/zungu MARVIG GAY hakuna mwenye habari zake? hivi mnajua huyu ndio kati ya wajanja wachache walioanza kupeleka ma Truck bongo toka Buruda...jamaa aliingiza fleet ya ma FIAT kama 50! na haijulikani yaliishia wapi

ama kweli mdude noma
 
Kati yeni nyinyi ma MEN TO SEA wetu humu hivi kuna yoyote kati yenu alikaa bichi la Nampula?
 
Last edited:
MARVIN GAYE,kabla ajakuwa baharia punde ukitaka pigana naye huvua nguo zote,lazima mtu mwenye akili timamu utimue maana choo.jamaa liliingiza ma truck bongo na yote yalikuwa linked na wireless,lakini nikasikia kwa kuwa jamaa shule hakuna shuguli ikamshinda akachacha.hivi sasa sina habari zake
 
Ndio mambo ya kibongo hayo. Kuwaachia biashara wana ndugu matokeo yake wanakuja kukutia ugonjwa wa moyo

Ebwana buruda kulikuwa na Baharia mwingine alikuwa anaitwa BARBADOS...unamkumbuka? wakati watu wako Napoli yeye aliapa kuwa zikiiingia tuu yeyey chum maneno BARMADOZ na kweli sijui aliiishia kule au hata sijui alipotelea wapi lakini ndio hivyo tena

Son of Alaska wewe utakuwa unawajua sana watoto wa MIGO MIGO

vipi unampata MALIMA aka mzee COSBY?
 
la hasha,fundi mchundo meli ninayoijua mimi na niliyowahi panda ni mv victoria nikiwa enroute to the one and only sweet mamaland WEST LAKE
 
Hii thread ni ya watoto wa mjini ambao ni members wa JF

Wakuja msihofu sana maana hatutowabagua kama Dar palikuwa ni transit lakini ukweli ni kuwa Dar ina wenyewe na wenyewe ndio sisi na tunajuana

haya nani kati yenu hajamuuzia FILIPINO pale stendi nyuma ya Steak Inn(kabla hajahamia kule relwe) CD na mambo ya electroniki?

By the way huyo FILINO mwenyewe alikuwa ni wa kuja

this thread should be titled "Watoto wa Mjini Dar" no need for parenthesis.
 
la hasha,fundi mchundo meli ninayoijua mimi na niliyowahi panda ni mv victoria nikiwa enroute to the one and only sweet mamaland WEST LAKE

Mimi nilipanda meli , meli ya Doulous nikanunua vitabu.

Mnakumbuka Doulous?
 
Kati yeni nyinyi ma MEN TO SEA wetu humu hivi kuna yoyote kati yenu alikaa bichi la Nampula?

Nitakufahisha mmoja au wawili kutoka Kimamba,hao jamaa tu na ndugu ila mkubwa ni Marehemu kwa sasa anitwa Ramadhani(Ramso).huyu alikua kwenye Snotta baadae kama kawa kwenye yale mambo yao.
Mdogo wake alifahamika sana kama ABDUL KIJAHAZI hizo namba mbaya,huyu jamaa mpaka leo yupo
 
Hivi kuna mtu anajua hawa mazungu waliishia wapi ZUNGU MARVIN wa magomeni na bwa MDOGO CHALA BOY bila kumsahau JUME wa ilala magorofani mara ya mwisho nilisikia kaachiwa from jela ya Angola huko Unyamwezini mkishanijibu hayo nauliza hivi....
Je ni kweli BABU MTAMA MCHUNGU alifariki au ndio zuga tuuu?

GT na NN,

Ray wa Ilala Flats ninayemsema kwa sasa yuko Mtwara. Hajawahi kuzamia. Na yeye ni kijana wa Njooka miaka ya 80.
GT, huyu JUME ni JUMBE? Huyu kijana nakumbuka alikuwa mtu wa kwanza kutuonyesha CD pale Magorofani. Alikuwa akitembea nayo kila siku. Enzi hizo mzee wao akiruka na ndege. Nilikuja sikia aliwakimbia FBI. Sasa kama alifungwa basi naona alisahau akajipeleka tena Unyamwezini.
 
Hii thread ni ya watoto wa mjini ambao ni members wa JF

Wakuja msihofu sana maana hatutowabagua kama Dar palikuwa ni transit lakini ukweli ni kuwa Dar ina wenyewe na wenyewe ndio sisi na tunajuana

haya nani kati yenu hajamuuzia FILIPINO pale stendi nyuma ya Steak Inn(kabla hajahamia kule relwe) CD na mambo ya electroniki?

By the way huyo FILINO mwenyewe alikuwa ni wa kuja

Dar ina wenyewe??????? na wenyewe ndio ninyi waswahili????Dhubutu!!!!!!!!!!!!!!! wanaojiita wenye dar woooote walishahamishiwa mbali zaidi ya gezaulole.. Wamekuja hao mnaowaita wakuja wakafanya kazi... (wenyeji mmekaa vibarazani mnaambizana "wa kuja hao yakhe" ) wakapata pata hela...(wenyeji mmekaa vibarazani mnaambizana "wa kuja hao yakhe" )... mkawauzia nyumba zenu za fito wakaangusha ma-bangalow.... na nyie haooooooooo mmekimblia kuishi maporini kama kima... waswahili wacheni uswahili... fanyani kazi....
 
Ignorant threads getting ignorant posts, what irony.

Although the post is disgustingly divisive, careful observers will not be wasted on the intriguing poetic justice, if that is any consolation.
 
Back
Top Bottom