Watoto wa kike na baba zao

I have a seven year old boy (ambaye nahisi nampenda kupita), ila nachukia mno akilia na hasa anapolilia kitu! I always tell him, 'young man, sitaki kuona you crying, I believe you are a strong boy...and strong boys don't shed tears. Sio siri huwa natamani kumuongezea kibao kikali zaidi ili angalau alie kuwa nimempiga! Kwa hiyo narudia kwenye point kuwa yes, sitaki awe legelege kama mdada (sorry mates, hili neno huwa linakuja tu).

Na ni kweli kuwa watoto wa kike wanakuwa vipenzi vya baba zao, to the extent ya hao wababa kuwataka watoto hao wawe kama replica zao wakati mwingine hata professionally!
 
Mimi nimeolewa na nipo kwenye ndoa for 8 years now na sina mtoto wa kike wote ni wa kiume. Nimeleta hii mada ili nipate majibu kwa wale wenye watoto wa kike if they are treating them as I was treated by my dad. Na kwa wengine labda mtujuze mnadhani kuna madhara yoyote kumtreat mtoto kwa design hiyo? I can't say kama nimekuwa na kasoro kama mke or not kwani hilo mume wangu ndio angeweza kuwajibu. Ila kwa kuwa mimi na dada zangu wote tumeolewa sijaona kama malezi yametufanya kuwa lesbian ingawa twaweza kuwa na kasoro nyingine kama wife.

Inawezekana malezi ya mama yalikuwa yanapunguza madhara ya treatment ya dad. Kwani mama yetu yeye alikuwa opposite. Yeye alikuwa kila siku anatuambia mara behave like a lady , mara mtoto wa kike akai hivyo and so on. But our dady's principle was much appealing to us than mummy's. Kwa ufupi tulipokuwa wadogo tulikuwa tunamuona mama kama mnoko fulani mpaka tulipokuwa wakubwa ndio tulianza kumuelewa

Mimi nadhani kama binti ilinisiaidia kuwa successful in life. Ila kuna mmoja naona amenijia juu as if nilichoose baba anilee alivyonilea. Labda nae atupe idea za faida ya kumlea binti kike.
 
Hivyo mzazi kutaka mtoto wa kike awe mkakamavu na mwenye kijisimamia sio vibaya.

i second the point ...

Ashadii pole sana for you have gone through a lot ... amini kuna watu wengi behind the "shaded" avatars sharing your sentiments ... wababa wenye watoto wa kike wanaweza kukuelewa sana katika hili ... just ignore provokations for i c watu wengine hawakuamka vizuri leo ... l.o.l (sipendi ligi jamani!)
 
  • Thanks
Reactions: EMT
What day and what are you talking about?Do you believe everything people say about themselves? Especially in this kind of an environment? But never mind coz there's a sucker born every minute!

"mwanaharasha ukimtia ndani ya chupa lazima atoe kidole" ...
 
"mwanaharasha ukimtia ndani ya chupa lazima atoe kidole" ...
I don't know you and you don't know me though you seem to think you do. So please leave me alone and mind your own business. Will you? Thanks in advance.
 
....Na mimi nikakumbuka malezi nilopewa na baba yangu. Alikuwa hataki kabisa tuwe legelege kama wanawake. ...

Safari bado ndefu! Mimi ni mwanaume, lakini mara zote huwa natamani kuwa kama mama yangu....i have never seen her 'legelege'!
 
i second the point ...

Ashadii pole sana for you have gone through a lot ... amini kuna watu wengi behind the "shaded" avatars sharing your sentiments ... wababa wenye watoto wa kike wanaweza kukuelewa sana katika hili ... just ignore provokations for i c watu wengine hawakuamka vizuri leo ... l.o.l (sipendi ligi jamani!)


Madabwada; Ashdii appreciates saana the heartfelt words...
Sometimes ignoring si nzuri for tumetofautiana uelewa na nia yetu
hapa JF ni kuhakikisha woote tuwe GT, kisasi kwamba hata kama sio
in time you turn out to be.... Asante saana...

Pamoja saana.
 
i second the point ...

Ashadii pole sana for you have gone through a lot ... amini kuna watu wengi behind the "shaded" avatars sharing your sentiments ... wababa wenye watoto wa kike wanaweza kukuelewa sana katika hili ... just ignore provokations for i c watu wengine hawakuamka vizuri leo ... l.o.l (
sipendi ligi jamani!)

*Snort
 
SMU.. Mungu akubariki...
Asante Ashadii. Mama ametufundisha kazi na uvumilivu. Mafanikio yangu kwa sehemu kubwa yamechangiwa na aina ya malezi yake...na kwa kweli alikuwa anaishi/anafanya kile 'anachokihubiri' kwetu.
 
i love my daughter and won't make her feel undermined....
she will always be my princess, my blood, my strength.....
i believe, she will be a woman as she is a woman!
what makes the difference between a daughter and a son?
it's only the upbringing of the parents....
 
Asante Ashadii. Mama ametufundisha kazi na uvumilivu. Mafanikio yangu kwa sehemu kubwa yamechangiwa na aina ya malezi yake...na kwa kweli alikuwa anaishi/anafanya kile 'anachokihubiri' kwetu.


Ndo maana nikaomba baraka za Mwenyezi Mungu ziongezeke kwako..
Be blessed and may she forever be young rohoni kwako...
 
Back
Top Bottom