Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,284
Umenikumbusha baba yangu NK... baba alikua ananipenda saaana but bahati mbaya saana
nilikua sijui... wazazi wetu walikua na policy ya no child being favoured kuliko mwingine
(which i came to know after his death baada ya mon ku admit...) Hivyo alipofariki my mom
baada ya arobaini aliniita na kuniambia Asha i want you to know baba yako alikua anakupenda Mno!
Hakuna siku toka umezaliwa hajakutaja even just before he slept...
Wakati niko 18 nilipata mimba ya Jerk fulani hivi (kipindi hicho the love of my life na cause of existence....)
nikiwa kama the only gal na nilikua ni wa chini chini - najua si vizuri kuadmit hii kitu but the tensions i GOT,
Naamini ningetoa ile mimba na the wonderful daughter i have would have been history.. in short
sikua na guts za kutoa hio mimba! Nililazimika kuwambia wazazi am getting married. Making the long story short
Siku naondoka (ya harusi... yaani naenda kwa mme...) Baba yangu alilia kama mtoto mdogo kwa kelele kubwa
mno na for almost 15 minutes... ilinibidi nirudishwe nikaongea nae for an hour.... (but still sikuja kua ananipenda.. i was so selfish!)
Disturbing...