Watoto wa kabila hili ni noma (Season II)

komedi

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
204
17
Nimemtembelea rafiki yangu mmoja nyumbani kwake maana alinialika kwenye sherehe ya mtoto wake wa kiume kutimiza umri wa miezi sita. Nikashangaa kukuta Lori aina ya fuso linateremsha shehena kubwa ya nepi za watoto. Kabla hata sijamuuliza kulikoni rafiki yangu yule akaniwahi.

''Ah! huyu mtoto hasumbui kingine chochote...si kuumwa umwa wala kukataa watu....lakini anatu-cost nepi ndugu yangu''

Ikabidi niulize ''kwa nini?''

Jamaa akanivuta pembeni na kuninong'oneza.....imebidi tuajiri Houseboy amlee, yaani mtoto akibebwa na demu tu anachana nepi''
 
Mi naogopa kung'olewa meno...nishapigwa sana yamebaki meno ya receiption tu naomba tafadhali msiniulize ni kabila gani.
 
Ahahahahaaaah!!! Kabila gani hilo komedi?

Katavi humu jamvini mmenivunja mbavu zote kwa kicheko...hapa natumia za spea....sasa mnataka mnivunje na meno yooote, ah! mi naogopa aisee!
 
Umeamua kuchekesha, basi malizia

MaMkwe umeshinda....maana hata location yako tu mtu anaweza akacheka mpaka akazirai....mi naomba nikutajie jina la mtoto....anaitwa Muta...
 
Nilisahau kusema...tumia Parental Guide please...this is not for under 18.
 
MaMkwe umeshinda....maana hata location yako tu mtu anaweza akacheka mpaka akazirai....mi naomba nikutajie jina la mtoto....anaitwa Muta...
Tehe tehe heeeh!! Nimejua ni akina nani!
 
kwetu ukizaliwa wa kiume ni lazima uangaliwe strength ya magnitude yako ie. 6.0,6.5,7.5,8.0 ...ktk richie scale
 
Kwi kwi kwi, kwa kwa kwa!
Angekuwa mtoto wangu ninamtafutia "House boy" ili kupunguza gharama za nepi.
 
Ndo maana kwetu umekuni tunakataza wajawazito kulakula na kunywa vitu hatari kama supu ya pweza na kuwa karibu na mganga wa hero subai hawakawii kuwanywesh mko...
 
Back
Top Bottom