Watoto wa kabila hili ni noma (Season I)

komedi

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
204
17
Wakiwa kwenye mazoezi ya kuogelea, walimu walipata shida na mtoto mmoja wa kabila fulani kwani alikuwa analia sana akidai kuwa hawezi kuogelea kwa kuwa anaogopa kufa.

Mwalimu mmoja kwa kuwa anawajua watu wa kabila hilo vizuri akamwita yule mtoto mbele ya walimu wengine na mahojiano yakawa hivi:

Mwalimu: Ebu niambie kwa nini hutaki kuogelea na wenzako?
Mtoto: Naogopa kufa
Mwalimu: Kwani nini unaogopa kufa?
Mtoto: Baba atanichapa.
 
Back
Top Bottom