Watoto siku hizi...

Titus

Member
Jul 28, 2007
81
2
Uvivu kama huu ni noma...!

Mtoto: Baba naomba glasi moja ya maji ya kunywa

Baba: Si uchukuwe mwenyewe kichaa nini?

Mtoto: Jamani baba si nimekuomba tu lakini....

Baba: Ukisema ten anitakuja kkuzaba kibao

Mtoto: Basi ukija kunizaba kibao uje na maji ya kunywa pia!

Have a good day ya'll
Cheers!!!!!!!
 
Huyo mtoto amelogwa lazima!!!!!!!!!!

...hapana, huyo mzazi tu hana busara. Sawa na yule mzazi anayemwita mwanae 'Mbwa wee!' ...na mtoto akimjibu 'kama mimi mbwa, nawe mbwa jike!'
 
JOB TRUE TRUE............................hapa hamna mtoto...............na kama yupo ni wale wa Osterbay na Masaki..............huku Tandika sijawaona wa dizaini hii
 
mtoto karithi toka kwa baba yake. Why call him Kichaa? After all kuna shida gani kutumwa na mtoto wako? is a pleasure kumtumikia mdogo!!! Waafrika sijui mpaka lini tutabadilika. Mtoto akiishaanza kujitegemea basi kibao kinagauzwa atumwe yeye 24/7 na si yeye kupewa even a favour ya glass ya maji. Mie wanaangu hunituma. Any time. Hakuna bondaries as afar a s anaona anahitaji msaada wangu. Sio wanaangu tu anybody. kwani kutumwa dhambi?
 
Mimi nadhani huyu mtoto kamwona babake amekasirika hana raha pengine mama ndio ameenda kwao. Sasa mtoto amejaribu kumuondoshea babake yale mawazo na attention yake iwe kwa huyo mwanawe. Mtoto hajakosa adabu bali ni kweli atakuwa ni miongoni mwa wale wa Masaki na Oysterbay, anajuwa ama anajaribu kumhandle babaye akiwa na hasira za mamake.

Waonaje hapo???
 
Back
Top Bottom