Watoto hawa waikataa CCM, je wewe mtu mzima?

Branding ya CCM is so colorfull!! CDM wanapaswa ku re-think on theirs!!
 
Nimeipenda sana hii lakini hapo hao watoto bado hawajakua na kujitambua wanataka nini hasa ,hapo atakuwa ni mzazi kaamua kufanya jambo hilo kwa sababu kubwa amechoka na uongozi uliopo madarakani na sasa anaanza kurithisha kizazi chake mabadiliko.
Good one
 
Its time now kuwakataa ccm kwa maneno na vitendo vyao kwa vitendo
 
ukikataa kukichagua chama tawala CCM, utachagua chama gani? CHADEMA wamesindwa kabisaa kutetete katiba ya umma na wakajipeleke a wenyewe kunyolewa Ikulu, sasa wewe unazania kuna chama cha upinzani Tanzania?Huyu DR Slaa, si lolote wala lolote, ni kama alivyokuwa Lyatonga Mrema. Wote ni vibaraka wa CCM.

Ni bora uchague ccm, kuliko kuwapa wachagga (chadema) kura zako. Mbowe na DR Slaa wote hawakuweza kurekebebisha katiba ya umma, ambayo itaondokana na utumwa wa kaburi la nyerere kututawala angali amekufa, sasa wewe unategemea nini hapo? ona muungano bado una amri kumi za nyerere! ona kiingereza kufanywa lugha ya kufundishia, bado kina amri kumi za nyerere! ona ujamaa na kujitegemea policy, bado zina amri kumi za nyerere za kuendesha uchumi! ona katiba ya nchi, bado ina maudhi na ukatili wa nyerere!

Kama chadema hawakuliona hilo, basi hicho si chama cha upinzani kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! bali ni chama cha unafikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!! DR Slaa ni Abeli muzolewa mpyaaa! Ni Cain Mpyaaaa! Ni uncle Tom!

Unaja*ba au unakohoa??? Mbona hueleweki?
 

Na huko haswa ndo wengi tulikotokea.
Unajua miaka hiyo, tukijifunza kukipenda chama tukiwa tungali yosso kabisa sema tu ukishakuwa mkubwa ndo unabadili mawazo.

so nyie ni wasaliti?
 
Its time now kuwakataa ccm kwa maneno na vitendo vyao kwa vitendo
Ni ngumu kuikataa CCM, wote tumezailiwa na damu ya CCM, tutajaribu tu kupinga pinga baadhi ya mambo. Lakini CCM itaendelea kuwa ndani yetu.
 
Back
Top Bottom