Watoto hawa waikataa CCM, je wewe mtu mzima?

tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,330
4,114
Wana cdm na wana jf kwa ujumla wenu tujifunze kuwaandaa watoto kuikataa ccm kama wazazi wenye watoto hawa walivyofanya. Tusipowafundisha kuikataa ccm tutaandaa kizazi cha wezi na wanyonyaji kama wana ccm wanavyo fanya. Leo hii ccm imejaa vijana wezi tena hawana aibu kuutetea kwasababu wamerithi toka kwa baba zao wezi! Usipowaandaa kikataa ccm watoto wako watatumbukia kwa jinamizi huyu ccm!
Tumkumbuke mwalimu huku tukijua kuna watu waliomfanya akawa mwadilifu na hakuwa malaika

DSC01961.JPG DSC02079.JPG DSC02096.JPG IMG_0012.JPG IMG_0035.JPG IMG_0046.JPG
 
Sijisifiii ila kabla ya kuacha ualimu nilikua nafundisha masomo ya arts! Nilifanya kazi nzuri ya kuwaelimisha watoto wale na wote wakakubali kuwa uchaguzi ujao ambapo wengi watakua either 18 or 18+ watachagua sera zinazotekelezeka na sio ushabiki wa kanga na tisheti. Natamani kurudi kufundisha siasa tu.....
 
Hahahahaaa!!
Ianzishwe komandi ya under 10yrs. Makamanda watarajiwa.
 
Safi sana ukombozi unakalimbia kuitoa nchi kwa wanyang'anyi CCM,au majambazi CCM.
 
ukikataa kukichagua chama tawala CCM, utachagua chama gani? CHADEMA wamesindwa kabisaa kutetete katiba ya umma na wakajipeleke a wenyewe kunyolewa Ikulu, sasa wewe unazania kuna chama cha upinzani Tanzania?Huyu DR Slaa, si lolote wala lolote, ni kama alivyokuwa Lyatonga Mrema. Wote ni vibaraka wa CCM.

Ni bora uchague ccm, kuliko kuwapa wachagga (chadema) kura zako. Mbowe na DR Slaa wote hawakuweza kurekebebisha katiba ya umma, ambayo itaondokana na utumwa wa kaburi la nyerere kututawala angali amekufa, sasa wewe unategemea nini hapo? ona muungano bado una amri kumi za nyerere! ona kiingereza kufanywa lugha ya kufundishia, bado kina amri kumi za nyerere! ona ujamaa na kujitegemea policy, bado zina amri kumi za nyerere za kuendesha uchumi! ona katiba ya nchi, bado ina maudhi na ukatili wa nyerere!

Kama chadema hawakuliona hilo, basi hicho si chama cha upinzani kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! bali ni chama cha unafikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!! DR Slaa ni Abeli muzolewa mpyaaa! Ni Cain Mpyaaaa! Ni uncle Tom!
 
mh!! mi ngoja nikawaite wahusika wa siasa...... watajibu tu..... we subiri dakika chache!!
 
Sijisifiii ila kabla ya kuacha ualimu nilikua nafundisha masomo ya arts! Nilifanya kazi nzuri ya kuwaelimisha watoto wale na wote wakakubali kuwa uchaguzi ujao ambapo wengi watakua either 18 or 18+ watachagua sera zinazotekelezeka na sio ushabiki wa kanga na tisheti. Natamani kurudi kufundisha siasa tu.....

Ubarikiwe mkuu !
 
ukikataa kukichagua chama tawala CCM, utachagua chama gani? CHADEMA wamesindwa kabisaa kutetete katiba ya umma na wakajipeleke a wenyewe kunyolewa Ikulu, sasa wewe unazania kuna chama cha upinzani Tanzania?Huyu DR Slaa, si lolote wala lolote, ni kama alivyokuwa Lyatonga Mrema. Wote ni vibaraka wa CCM.

Ni bora uchague ccm, kuliko kuwapa wachagga (chadema) kura zako. Mbowe na DR Slaa wote hawakuweza kurekebebisha katiba ya umma, ambayo itaondokana na utumwa wa kaburi la nyerere kututawala angali amekufa, sasa wewe unategemea nini hapo? ona muungano bado una amri kumi za nyerere! ona kiingereza kufanywa lugha ya kufundishia, bado kina amri kumi za nyerere! ona ujamaa na kujitegemea policy, bado zina amri kumi za nyerere za kuendesha uchumi! ona katiba ya nchi, bado ina maudhi na ukatili wa nyerere!

Kama chadema hawakuliona hilo, basi hicho si chama cha upinzani kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! bali ni chama cha unafikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!! DR Slaa ni Abeli muzolewa mpyaaa! Ni Cain Mpyaaaa! Ni uncle Tom!

wewe ni mshamba na mpuuzi kama huna hoja kaa kimya kuliko kuweka upupu wako humu, jamii forum sio sehemu ya kujifunza kufikiri, ni sehemu ya watu waliokomaa kiakili sio kama wewe. aliyesema chadema ni cha wachaga nani? slaa ni mchaga? mnyika ni mchaga? Abdala safari, zitto, juliana, marando, wenje, heche nao ni wachaga? acha unafiki fikiri kabla hujaongea
 
Back
Top Bottom