Watetea Haki na Maendeleo kwa Umma Wataishi

eedoh05

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
632
234
" Amwambiaye mtu mwovu, wewe una haki;
Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia;
Bali kwao wakemeao furaha itakuwako;
Na baraka ya kufanikiwa itawajilia
" Mithali 24: 24-25
 
" Amwambiaye mtu mwovu, wewe una haki;
Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia;

Bali kwao wakemeao furaha itakuwako;
Na baraka ya kufanikiwa itawajilia
"

Mithali 24: 24-25 (
Biblia: Maandiko Matakatifu)

Na maandiko yanasema, dunia na mambo yake yote yatapita, lakini neno la BWANA halitapita. Mungu si mwanadamu hata akasema uongo. Haya tunayashudia leo hii katika dunia hii. Afrika yote imeamka watetezi wa waovu wanalaaniwa kila uchao. HALELUYAAAAAAAAAAAAA!
 
Back
Top Bottom