Water Pump, Generator na Brush cutter zinauzwa

IMG-20160610-WA0010.jpg
 
Nitapata engine ya Honda 110? Bei yake shilingi ngapi?
bei yake siwezi kujua kwa haraka haraka, ungekuja ofisi zetu za Quality Motors ltd pugu road karibu TCC. kuna kitengo cha spare parts pale watakuhudumia.
 
Brush cutter ya kukatia majani na nyasi ngumu za porini na shamba.

View attachment 364508
big up ndugu kama watu wote humu wangekuwa wanatoa majibu kama wewe mambo yangekuwa mazuri na najivunia nilishanunua betri ya gari hapo kwenu(msasani) kuna jamaa white sanaa ndio aliniuzia mpaka leo inadunda....swali ndugu hii kitu ya kukatia majani kama ni msitu usio na miti mikubwa unaweza ukatekenya nalo mpaka ndani au inakata majani tu maana nina pori langu kuna vimiti vidogo vidogo lakini kuvikata mpaka panga unalionea hurum? majibu
 
Kwa hio mashine inakata majani ya Msitu bila tatizo, Miti mikubwa na visiki haiwezi kukata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom