Watendaji wa Bunge Wamekula Rushwa?

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,941
9,947
Naangalia mjadala wa Bunge na kuna Mbunge ameomba mwongozo wa spika kuhusu uchangiaji akisema kwamba yeye ni wa 16 kwenye orodha lakini ameitwa mchangiaji wa 20 yeye hajaitwa!! Mwenyekiti ameseema kuna wabunge wamefanya lobbying kwa watendaji wa Bunge na hivyo kuna orodha feki ya wabunge wa kuchangia!! Hapa ni nini, si kuwa watendaji wamekula?
 
hao mbona ni magamba wanajulikana majibu yao kuhusu posho ndio utawajua ni watu wa aina gani
 
Hiyo ni kawaida kwa magamba, kwanini watumishi wa bunge wasiige wakati wanaona daily wapinzani wanavyochakachuliwa??
 
Daaaaahh........
Ndicho kinachoendelea hicho??????huku umeme umerudi UBUNGO

Mkuu kuna orodha mbili za wabunge wanaotakiwa kuchangia hotuba ya waziri mkuu jioni hii!! Moja halali nyingine fake lakini zote zimeandaliwa na watendaji wa Bunge baada ya baadhi ya wabunge kufanya LOBBYING!
 
Back
Top Bottom