Watendaji mamluki kuenguliwa ATCL...............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Waziri mpya wa mawasiliano na uchukuzi ameahidi kuuchunguliwa uongozi mzima wa ATCL kwa minajili ya kuwaengua watendaji mamluki ambao ndiyo wanankwamisha utendaji wa shirika hilo la umma la ndege ambalo limekuwa likikabiliwa na matatizo sugu ya kiuongozi hapa nchini..........................

Zimekuwepo jitihada mbalimbali za kulibinaifisha na kuubadili uongozi wake bila ya kuzaa matunda yoyote na hivi sasa linapumuliwa mashine kupitia ruzuku kibao kutoka Hazina...........

Ahadi za Mheshimiwa Waziri tutaziangalia kama kweli zinatekelezeka au ni nguvu ya soda............
 
Back
Top Bottom