Watch "Vanessa Mdee - Cash Madame (Official Music Video)" on YouTube

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,818
3,725


Kweli mgema akisifiwa tembo hutilia maji. Vee na ile sauti yake amazing alikuwa na haja gani ya kutumia ma auto tune kama hvo?
Au ndo alijua mashimo atafukia kwenye video ????
 
Sijaona tatizo la kutumia auto tune as long as imetumika positively. Bonge moja ya Ngoma kwangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom