King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,603
- 68,514
Eti anasema faida ya .tz ni kwamba ukifanya international biz,watu wa nje ni rahisi kukuamini kua unatoka tz kwa kutumia .tz coz .com ni ngumu kukuamini.
Basi aina tija kujiunga na .tz wkt content ni ile ile yl gharama ni kubwa.
.tz maana yake uko Tanzania, kama ilivyo code +255 kwenye simu!. . com ni uko popote, dili zote za wizi kwenye mtandao, mijizi inatumia .com kwa vile no trace, ukitumia.tz huwezi kufanya madudu!.Waulize nini tofauti ya .tz na .com?
.tz maana yake uko Tanzania, kama ilivyo code +255 kwenye simu!. . com ni uko popote, dili zote za wizi kwenye mtandao, mijizi inatumia .com kwa vile no trace, ukitumia.tz huwezi kufanya madudu!.
Lakini kubwa zaidi ni security. Sijui wamejipanga vipi na wadukuzi (hackers). Kama hata emails za yahoo na hotmail zinakuwa hacked, sijui hawa watakabiliana vipi na hili tatizo.
Lakini kubwa zaidi ni security. Sijui wamejipanga vipi na wadukuzi (hackers). Kama hata emails za yahoo na hotmail zinakuwa hacked, sijui hawa watakabiliana vipi na hili tatizo.
Eti anasema faida ya .tz ni kwamba ukifanya international biz,watu wa nje ni rahisi kukuamini kua unatoka tz kwa kutumia .tz coz .com ni ngumu kukuamini.
.tz maana yake uko Tanzania, kama ilivyo code +255 kwenye simu!. . com ni uko popote, dili zote za wizi kwenye mtandao, mijizi inatumia .com kwa vile no trace, ukitumia.tz huwezi kufanya madudu!.
pasco unaweza kufungua site kwakutumia .tz halafu ukaoperate nje ya tz na ukafanya uharamia na hiyo +255 zinachakachuliwa sana na nirahisi, hata +44 through call divert we do
Naona huyu Zakaria anaona amevaa suti nzuri sana na sasa anataka kujua kwa nini JF and the like wanajadili utendaji mbovu wa viongozi na watendaji mbalimbali.Kweli hana maswali ya kuuliza sasa anatoka nje ya mada kurefusha mazungumzo.
.tz maana yake uko Tanzania, kama ilivyo code +255 kwenye simu!. . com ni uko popote, dili zote za wizi kwenye mtandao, mijizi inatumia .com kwa vile no trace, ukitumia.tz huwezi kufanya madudu!.
Pasco hakuna tofauti kubwa na iliyopo kwa inaweza kuwa theoretical tuu. Practically, kinacho matter ni content ya site yenyewe. Kama content nzuri wanunuzi watakuja tuu regardless unatumia kikoa kipi. Kama content ni relevant, means watembeleaji ni wengi. Kama watembeleaji ni wengi means Google itakuwa inatembelea site yako mara kwa mara na ku-index zaidi content iliyopo.
Angalia kwa kwa mfano JF inayotumia .com inaongoza kwenye seach engine kwa kuwa na contents za Kiswahili. Kitu kingine siku hizi Google nao wameendelea to the extent kuwa badala ya kuwa .co.tz unaweza ku-specify location ya site yako ndani ya Google Webmaster's tool regardless of kikoa au hostin, thereby saving the costs of buying a country specific domain. Narudia tena: Spend responsibly by using the available technology.
Mkuu EMT nakuelewa sana hapo.But still some people just want to find out how challenging parking at your own risk is.
Meneja wa TzNic, Abibu Ntahingiye amesema Watanzania wanapaswa kutumia kikoa cha .tz badala ya kushadadia mitandao ya bure ya .com
Hivyo Tanzania tufike mahali iwe ni lazima kutumia .tz kwa ofisi zote na biashara zote halali!
Mkuu EMT, kiukweli hii issue ya kutumia kikoa cha .tz bado ni subject ya wider discussion between being a matter of choice, optional or compulsory.Bado naamini ni bora wafanya biashara wachague wenyewe.