Watch "Snura - Chura Dance alafu sema chochote

Huyu snura kwa kweli video zake hazina maadili kwa nchi ya tz video kama hiyo kweli unaweza ukaangalia na family yako?
Alafu utakuta TV zetu wanaonyesha upuuzi kama huu
vitoto vidogo mtaani vimeshaanza kuuimba huu wimbo, hivi taifa la kesho sijui litakuwaje!, mama anangalia chura na mtoto wake wa miaka sita wa miaka kumi ataona live alh, na ijumaa hatakosa j1 siku hiyo hailali njaa uswahilini kwetu kwa kukosa kigodoro, gongo, viroba na bia kidogo watu wanachangamka mpaka nguo ndogo wanaona nzito zinawapa joto wanaamua kuzitoa.

huyu binti ni msanii wa kweli haya ndio yaliyomo uswahilini kwetu watu wamekata tamaa ya maisha katumia vema nafasi yake ya kuwa kioo cha jamii
 
Inafaa sana hii ...vitu laini vinameng'enyua kweli umbo la kibantu limetumika ipasavyo...hata wakifungia ila kwenye simu zao wanao wanaenjoy kuuchabo wakiwa peke yao
 
Video ambayo nimewaambia imefungiwa kenya na huyy colonel muimbaji ni mtanzania sasa sijui ndio sababu au vipii
Colonel Mustafa -Dodoma Singida(Official Ogopa Vi…:
 
Huyu mwanamke hana maana na mwimbo wake hauna maana kabisa... it seems ni mtu anayefaa kuact porn movies tu hana lolote
 
Ebu toa comment yako baada ya kuangalia hii nyimboo ya snura chura je? Iko sawa kwa mtazamo kwamba unaweza kuingalia sebuleni ukiwa na mwanaoo?
Je! Unaweza kutoa ushauri kwa BASATA
Snura - Chura Dance | Tanzania women Twerking (Of…:

Jana nusu nipigane na wanaume wanaofurahii huu upuuzi Ajabu Basata Tcra wako kimya wanawake wanazidi kuzalilishwa hawa wote niwakuweka ndani
 
Back
Top Bottom