Watch Clouds TV online

Wadau Clouds Tv kwa sasa inapatikana online, unaweka kuitazama kupitia hii link CLOUDS TV on USTREAM: .

Kwa wale ambao wako nje ya Tanzania hii inaweza ikawafaa zaidi.

we vipi ,kwani Lindi,Kigoma,Moshi wanona hii kitu ,sema nje ya Dar Es salaam pekee kwani hawapo katika satelite bado,ni kwa antena na baadhi ya vingamuzi
 
Kiwango cha picha kiko chini sana, nawashauri mafundi waangalie hilo.
 
we vipi ,kwani Lindi,Kigoma,Moshi wanona hii kitu ,sema nje ya Dar Es salaam pekee kwani hawapo katika satelite bado,ni kwa antena na baadhi ya vingamuzi

Mkuu nilikuwa sina ufaham kama wako Dar es salaam pekee.
 
Weka link ya channel5,startv,ch10 na itv nitakuona wa maana,clouds vipindi vizuri ni take1,kipindi cha antonio nugaz,bongo axex,nyuma ya lenz na tamsilia ya 69 recods baaaasiii.
 
Back
Top Bottom