Watch 3d movies on your pc

mgeni3

JF-Expert Member
Jun 4, 2010
228
63
[h=6]Kwawale wapenzi wa Movies in 3D form, juc tafuta glasses za kuwatch hizo movies now unaweza kuziangalizia hata hapo hapo home

cha kufanya download Latest KMplayer na hizo 3D movies ambazo nyingi zake zipo Torrent sites

kwa wasiozijua huwa zina maelezo kama hya katika description

The Smurfs 3D (2011) BluRay 720p Half SBS
TRON Legacy (2010) [3D] [HSBS]
Journey 2 The Mysterious Island (2012) [3D] [SBS]
Immortals (2011) [1080p] [3D] [HSB]

cha kuzingatia ni hizo SBS, HSB na 3D ziwe pamoja
cha kufanya ukiiplay hiyo movies huwa ina desplay screen mbili ikifanya hivyo just click 3D option then itakuwa full screen, Vaa glasses zako then your good to go

[2012/03/19] KMPlayer 3.2 Release - build# updated - The KMPlayer's Forums[/h]
 
mkuu, samahani lakini ukitaka kuangalia movies za 3d lazima uwe na screen ambayo inaweza kudisplay 3d movies (iwe tv au laptop). bila kuwa nayo, kuwa na glasses au media player tofauti haibadilishi chochote. na kwa saa hizi laptop zinazoweza kuonyesha 3d ni chache mno na very very expensive.
fikiria hivi, unaweza kuangalia movie ya hi res kama 1080i kwa tv au laptop yeyote ila mpaka uone clarity ya hizo pixels, mpaka uwe na tv ya hd au laptop ya hizo resolution. yaani hardware ndo inasema.
peace
 
nimekupata, waz also thnkng the same thng! can you visit hyo site chni ya maelezo afu KMplayer wana forums zao, pia wako facebook and twitter pia jaribu kucheck then argue huko.. Bila kusahau youtube wana hyo mambo pia na kuna testmony na arguments kibao pia. They are all positive and so far KMplayer ndo wa kwanza kwa hii mambo.

Try to check hii tutorial i beliave your question imekuwa answered pia http://www.youtube.com/watch?v=3rhHLrOtPv8

.......it doesn't kill you 2try......
 
kweli it doesnt kill to try. nina glasses za 3d, so nitadownload hiyo kmplaye alafu nikupe feedback
 
3D world(xyz) on 2D screen(xy) inawezekana kweli? Until that day screens will have the z dimension, 3D movies will remain a pleasant illusion.
 
haijalishi unatumia wat kind of laptop kaka.... kikubwa uplay movie ya 3D, i mean ambayo ukitumia a normal player kama VLC au Mac bluray player inaonesha screen mbili mbili... i mean upande wa kulia na kushoto kote kunaonesha the same movie... embu jaribu hizi 3D Half SBS | Mediafire Movies!! BRRip,720p,Mkv,Rapidshare but siko sure kama link bado zinawork, kwa kuanzia unaweza ukadownload 3D trailers from youtube kama sample just to try
 
Back
Top Bottom