Chatumkali
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,037
- 458
Dunia inashuhudia mwisho wa dola ya GADAFI baada ya miongo takriban minne ya utawala wake.Je ni sahihi kusema kwamba nguvu ya umma imeongea?Je tuamini kwamba ni fitna za mataifa ya magharibi?Je,watawala wetu wajifunze nini kutokana na anguko hilo la kihistoria?