Watawala wa saudi na wasafiri waliokwama ulaya

Ngekewa

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
7,705
1,288
Crown Prince wa saudi Arabia ambae pia ni Wazziri wa masuala ya Anga ametowa agizo kwa Wasaudi wote waliokwama ulaya kutokana na kuahirishwa safari za ndege kutokana na mlipuko wa Volcano, kutafutiwa hoteli na yeye Prince atalipa kwa pesa zake gharama za hoteli.
Suala la kujiuliza ni nini kimemsukuma kufanya hivyo? Pengine kubwa ni kujali watu wake?
 
Taifa tajiri hilo na labda pia ni kujali watu wake. Kama ulikuwa na vijisenti vyako vichache na kukwama Ulaya au kwingine kutokana na hali hii ya kutokuwepo na usafiri wa anga unaweza kuadhirika.
 
Crown Prince wa saudi Arabia ambae pia ni Wazziri wa masuala ya Anga ametowa agizo kwa Wasaudi wote waliokwama ulaya kutokana na kuahirishwa safari za ndege kutokana na mlipuko wa Volcano, kutafutiwa hoteli na yeye Prince atalipa kwa pesa zake gharama za hoteli.
Suala la kujiuliza ni nini kimemsukuma kufanya hivyo? Pengine kubwa ni kujali watu wake?


Kujali kunakoendana na uwezo.
Unaweza kujali lakini ukakosa nguvu kwa vile mfuko hauruhusu.
 
One-Man-Show business smelling here!
Mwarabu anajionyesha tu kuwa ana pesa isiyo na kazi, na watu hao wamekwama kwa mzungu(Ulaya), basi ndo makeke yatazidi, ilijeuri ya mafuta iwekwe hadharani!..huh!
 
sioni tatizo la muarabu kujionyesha kuwa ana pesa as long as raia wake wanafaidika....

angeweza kuwa asijionyeshe na angeendelea kuwa na mapesa hayo alonayo na raia asingefaidika vile vile
 
Nafikiri si suwala la kujionyesha bali ni kujali. Nakumbuka Serikali yetu ya Tanzania iliwakataa wanafunzi waliokwama kule Urussi au moja ya nchi zilizokuwa Urussi. Pesa ya Serikali mtu anaionea maya kusaidia mtu aliekwenda kwa masomo (pengine atasaidia Taifa atakaporudi) Ni bora kujionyesha huku kwa Mwarabu anaetowa msaada kwa raia wake kuliko kujionyesha kwa Serikali yetu eti ionekane haitaki mzaha!
 
Kuna watu wana inferiority complex, chochote kitakachofanywa na mwarabu hata kama kina deserve credits siku zote kwao wao ni kosa lakini kikifanywa na Mzungu basi kinahitaji sifa zote!
 
Likewise, Kuna watu wana inferiority complex, chochote kitakachofanywa na mzungu hata kama kina deserve credits siku zote kwao wao ni kosa lakini kikifanywa na Mwarabu basi kinahitaji sifa zote!well its very complex
 
i don see anything wrong with givin people money to stay in hotel! i don know where this tug of war btn some members here that this is bcoz its done by arabs or white etc, whats the point of all this! the bottom line is he has the money and he can use whatever he wishes to spend as long as he doesnt break the law thats all!
 
To be honest I don't see anything wrong with it as long as it benefits his people be it that he really cares for them or it is for cheap popularity. If our leaders in Tanzania looked for cheap popularity this way mbona ingekua vizuri. The point here is the prince gets what he wants(be it helping out or cheap popularity) and his people get what they need. Ita shangaza kama serikali yoyote haita fanya chochote kusaidia wananchi wake walio kwama.
 
sioni tatizo lolote katika hili. mbona nchi nyingine kama uingereza zimefanya hivyo? imechukua watu pamoja na askari waliotoka afhganistan kwa meli kutokea spain! kila nchi ina mtazamo wake na je unaonaje hili la mashirika ya ndege kudai fidia kutoka kwa serikali zilifunga anga zake? USA ilitenga US$ 5bn kufidia mashirika ya ndege baada ya kufunga anga kwa siku 4 kufuatia shambulio la 9/11, hapo utasemaje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom