Watatu Wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Kibunango

Platinum Member
Aug 29, 2006
8,419
2,270
_45886247_-162.jpg

A court in north-western Tanzania has sentenced three men to death by hanging for killing a 14-year-old albino boy.
They were found guilty of attacking Matatizo Dunia and severing his legs in Bukombe district in Shinyanga province.

Albino body parts are used in potions sold by witchdoctors promising wealth. Tanzania has seen an unprecedented rise in the killings in recent years.
Dozens of people have been arrested, but the justice system is notoriously slow and this is the first conviction.

There are 50 other cases of killings of albino people before the courts.
The Tanzanian government has publicly stated its desire to end the killings.
In March, President Jakaya Kikwete called on Tanzanians to come forward with any information they might have.

In July a court in neighbouring Burundi sentenced one person to life in prison and eight others to jail for the murder of albino people whose remains were sold in Tanzania.

There are estimated to be about 17,000 albino people living in Tanzania. They lack pigment in their skin and appear pale.

Source: BBCNEWS
 
Na bado tutanyonga woote waliopoteza uhai wa ndugu zetu Albino!! na hii iwe fundisho kwa yoyote yule mwenye mawazo hayo!!
 
Na bado tutanyonga woote waliopoteza uhai wa ndugu zetu Albino!! na hii iwe fundisho kwa yoyote yule mwenye mawazo hayo!!

Muhimu wangewahoji wote mpaka wamkamate mteja wa mwisho wa hivyo viungo vinginevyo wataibuka wachinjaji wengine tu.

"Deal with the problem from the roots not branches".
 
Muhimu wangewahoji wote mpaka wamkamate mteja wa mwisho wa hivyo viungo vinginevyo wataibuka wachinjaji wengine tu.

"Deal with the problem from the roots not branches".

Kazi ya mahakama ni kuhukumu na kazi ya police ni kufanya uchunguzi so wamehukumiwa kwa makosa yao ya kuua hiyo ishu ya "mteja" ni kazi ya polisi kuwasaka na sio mahakama!!
 
Tunaishukuru Mahakama kwa kutenda haki kwa hili jambo. Tunaziomba mahakama zote ambazo kuna mashitaka kama haya yaharakishwe na haki itendeke labda itasaidia kwa namna moja au nyingine kuondoa kabisa unyanyasaji huu kwa ndugu zetu hawa wenye ulemavu wa ngozi.
 
Safi sana mahakama kwa kazi nzuri na kesi imesikilizwa kwa speed ya hali ya juu.
Sasa nyie mnao husika na mahakama vp kesi za mafisadi mbona zipo slow mnataka mpaka wengine wafe watuhumiwa? Maana wengine afya mgogoro kweli kweli akipulizwa na upepo wa Makambako ana dondoka na hao ongezeni speed jamani.
 
Kamanda hilo ni dongo!
 
Ingekuwa china hao tayari adhabu ishatekelezwa.

Labda inabidi wamtumie JK fail marekani, ili akirejea hukumu iwe sihatekelezwa. Japo ni haki ya kila mtu kupewa nafasi ya kukata rufani, basi kama zipo rufani wapewe nafasi na kesi zisikilizwe shasha, ila wakunyongwa wanyongwe mara moja. (wengi watasema kunyonga ni kukiuka haki za binadamu, kama vile wao Albino hawana haki)
 
Muhimu wangewahoji wote mpaka wamkamate mteja wa mwisho wa hivyo viungo vinginevyo wataibuka wachinjaji wengine tu.

"Deal with the problem from the roots not branches".

Tatizo hao waganga waheshimiwa wanaendaga kupata mambo kwa ajili ya vyeo serikalini na kwenye post nyinginezo. Sasa watadeal vipi na waganga hao?
 
Adhabu ya kifo inabidi iwe ya risasi na siyo kitanzi na itekelezwe mara moja.
 
Back
Top Bottom