Watapata mkopo?

The Son

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
459
58
Deadline ya HESLB imeshapita ( 25/08).TCU ya kwao 29/08 je hawa watapata mkopo au HESLB itasogeza?
 
Deadline ya HESLB imeshapita ( 25/08).TCU ya kwao 29/08 je hawa watapata mkopo au HESLB itasogeza?

we kuwa makini kasome upya news yao ....the board gives a duration of 2 weeks from 15 august.....unaposema deadline imeisha u r wrong!
 
Soma vizuri hyo new ya HESLB cio unakuwa unatisha wa2 kwamba watapata au la. HESLB wametoa wiki 2 kuanzia tarehe 15/08/2012 it means the deadline will on 29/08/2012 as the deadline of Application 2nd round ya TCU.
 
mbona wewe ndio huko wrong hebu hesabu kuanzia tarehe 15 hadi 18 ni wiki ya kwanza, tarehe 19 hadi 25 ni wiki ya pili usichukue 15 + 14
 
Mkuu!!! Ulisoma nin Advance na hata Hesabu ya primary inakushinda? Mbona wenzako 2najua kwamba deadline ya HESLB ni tarehe 29/08/2012, na kama wewe pia ni 2nd round ya TCU uciwe na wac MKOPO UTAPATA 2 Mkuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ***Good things always came later, so be patient 2 dis***
 
Hapa mimi sielewi kabisa! 2nd around wakati Results ya walioomba kwanza majina yao hayajatoka?
 
Back
Top Bottom