Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,416
sijakusoma mkuu........Si kila Mkristo ni Mchungaji,Padri au Askofu.
sijakusoma mkuu........Si kila Mkristo ni Mchungaji,Padri au Askofu.
Naunga mkono hoja 100%, Raisi wa kwetu, makamu wa kwetu, mkuu wa wapigaji risasi wa kwetu, kasoro waziri mkubwa tu, watatufanya nini????????? Hatudanganyiki. walituahidi mahakama yetu wao wenyewe, na ushahidi wa maandishi tunao. sisi tuko 75% eti wao wanadai sisi tuko 34%. Hatudanganyiki!!!!!!!Wasitutishe, hatukubali kuhesabiwa na hakuna lolote wanaloweza kufanya.
Mkuu fanya Yote ila usigomee sensa! Mi nipo huku kwenye Mafunzo. Nachotaka kukuambia akikushawishi karani uesabiwe ni bora ukakubali..
Maana Tumeambiwa kuwa Kama mtu akigoma Unanyanyua simu yako unampigia Msimamizi mkuu, sasa yeye ndo atajua cha kufanya..
KILA MTU ATAHESABIWA
Kwani si lazima mpige hodi... Nyumba kimya hakuna anayefungua .. mtasubiri??
Mkuu fanya Yote ila usigomee sensa! Mi nipo huku kwenye Mafunzo. Nachotaka kukuambia akikushawishi karani uesabiwe ni bora ukakubali..
Maana Tumeambiwa kuwa Kama mtu akigoma Unanyanyua simu yako unampigia Msimamizi mkuu, sasa yeye ndo atajua cha kufanya..
KILA MTU ATAHESABIWA
Nasubiria hii movie
Naunga mkono hoja 100%, Raisi wa kwetu, makamu wa kwetu, mkuu wa wapigaji risasi wa kwetu, kasoro waziri mkubwa tu, watatufanya nini????????? Hatudanganyiki. walituahidi mahakama yetu wao wenyewe, na ushahidi wa maandishi tunao. sisi tuko 75% eti wao wanadai sisi tuko 34%. Hatudanganyiki!!!!!!!
Mkuu, nadhani tunajadili humu ndani na watoto wa darasa la pili. Hivi kweli kama mtu una watu wanakutegemea au una mji wako , kazi/biashara nk , unaweza kweli kukubali usumbufu utakaoupata baada ya kugoma kuhesabiwa? Yaani upelekwe polisi/ufunguliwe kesi/upate inconveniences kibao eti kwa sababu ya shehe Ponda? Unajua Shehe Ponda anapata wapi hela ya kula? Nadhani watakaogoma kuhesabiwa ni wale tu wavuta bangi/wazee wa vijiweni nk ambao hawana kitu chochote cha kupoteza. Sidhani kama kuna muislam Tanzania mwenye ajira yake anayeweza kugoma na kuiharibu CV yake na mstakabali wake eti kwa sababu tu shehe ponda kasema agome...HAKUNA AMBAYE HATA HESABIWA . Sensa ni Siku 7. Hatua kali zitachukuliwa kwa Mtu yeyote atakayemsumbua/kumtisha na kumkwamisha Karani wa SENSA.
Take my words from Mafunzo ya Sensa
Hivi hii ndo itaanza au ya Ulimboka?..
Mashehe wako right.
Tanzania ya sasa haihitaji sensa.
Takwimu haiisaidii serikali ya Kikwete.
Loss of billions unnecessarily.
Tusubiri nchi ikipata serikali itakayokuwa accountable kwa wananchi wake watafanya sensa yenye tija kwa taifa.
Ya sasa ni sehem ya madili yao.
Mashehe wako right.
Tanzania ya sasa haihitaji sensa.
Takwimu haiisaidii serikali ya Kikwete.
Loss of billions unnecessarily.
Tusubiri nchi ikipata serikali itakayokuwa accountable kwa wananchi wake watafanya sensa yenye tija kwa taifa.
Ya sasa ni sehem ya madili yao.
Dini gani na ili iweje.
Hapa tz dini ni upagani tu na ndiyo maana haijasajiliwa wizara ya mambo ya ndani. Vingine vyote ni vikundi -associations na ndiyo maana ili viendeshe shughuli zake lazima viombe usajili/ruhusa.
and so they are obliged to comply na aliyewasajili
kusajili mmeomba kisha mnataka kumwendesha aliyewasajili....sawa na mpangaji kumwendesha mwenye nyumba.
Ombeni kufutwa usajili kwanza