Watanzania

Bollo Yang

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
440
50
Leo kweli nimeamini Watanzania wanaweza kuwahi maofisini..hakuna cha anaepanda dala dala wala mwenye gari binafsi, watu wengi leo (Wa Dar) wamefika maofisini kabla ya saa moja asubuhi..mnaonaje wadau kama hii ndio ingekua kawaida....
 
Mkuu,

Wewe kuingia kwako kazini ni huwa ni saa ngapi?

Kwa maana wengine saa moja lazima tuwe tumeshaanza kuchapa kazi (kwa miaka 20 iliyopita)
 
**** Yang unataka kutuambia kuwa watu wameogopa hotuba ya mkuu wa kaya mpaka wamewahi ofisini isivyo kawaida?
 
Wa TZ tu wavivu sana na kupenda visingizio sana. Mfumo mzima ungekuwa km leo hata foleni zisingekuwepo, trafik wanawajibika ipasavyo. kutoka mwenge mpaka morocco hakuna foleni barabara nyeupeeeeeeeeeeee
 
Labda Bollo Yang huwa anaingia saa mbili leo kaona abadilishe ratiba iwe saa moja
 
Kuwahi ofisini/kazini ni jambo moja, na kufanya kazi kwa muda wote ni jingine !! Ofisini ni stori tu za hotuba za JK, Slaa, Karume, Hamad , simba yanga, man u chelsea etc
 
wa tz tu wavivu sana na kupenda visingizio sana. Mfumo mzima ungekuwa km leo hata foleni zisingekuwepo, trafik wanawajibika ipasavyo. Kutoka mwenge mpaka morocco hakuna foleni barabara nyeupeeeeeeeeeeee

natamani wageni waje muda wooote duuu watuwanapiga kazi kishenzi mji saaafi hahahahhahah
 
There is no alternative but hard work to build a successfull nation. Unity , Love for each other, Love for work , honesty and integrity will get you very very far.
 
Hahahaha umeniwahi yaani leo saa kumi na moja asubuhi barabara zimechangamkaaa!! Duh ingekuwa hivi kila siku mbona tungekuwa mbali kimaendeleo!!
 
Hahahaha umeniwahi yaani leo saa kumi na moja asubuhi barabara zimechangamkaaa!! Duh ingekuwa hivi kila siku mbona tungekuwa mbali kimaendeleo!!

Huu usingizi lazima ufidiwe next week haiwezekani nikatishe usingizi saa kumi.
 
Hivi takwimu za watanzania kufanya kazi ni masaa mangapi kwa siku,Isije kuwa tunadai mshahara bora kumbe utendaji ni masaa 3 kwa siku
 
Hivi takwimu za watanzania kufanya kazi ni masaa mangapi kwa siku,Isije kuwa tunadai mshahara bora kumbe utendaji ni masaa 3 kwa siku
Haswaaa hili nalo swali. Maana imagine mtu anaingia ofisin saa tatu asubuhi anapiga blaa blaa hapo an anatunga safari hewa za kikazi, saa sita anakwenda lunch hadi saa nane anarudi kazini kusign off maana saa tisa anatoka ofcn (serikalini).

Nashauri wafanyakazi wa serikalini wanaotoka saa tisa wawe wanaingia ofcn saa kumi na mbili asubuhi hahahahahahaha
 
Back
Top Bottom