Watanzania wote tumsaidie ndugu Zitto na wabunge wengine kupata sahihi 70 za wabunge

SIDHANI KAMA KUNA HAJA YA KUMTAJA MBUNGE WAKO HAPA,WEWE RUSHA SMS HUKO ALIKO TUONE MABADILIKO.

MBONA RAHA!!!!!!!!CDM tupeni maisha bora ya kweli sio danganya toto kama VASCO DA GAMA(sorry)
 
Chadema mnataka kuleta vita,nyie watu inabidi mdhibitiwe mapema kabla amjavunja amani yetu na magwanda yenu ya uasi.

Kivipi. Nyie mliotuketea amani mko wapi? Zaidi ya kubebana na maumivu kuturudia sisi mmetufanyia nini? Safari hii hamna rangi mtaacha kuona wanafiki wabaya nyie
 
Back
Top Bottom