Watanzania wote tumsaidie ndugu Zitto na wabunge wengine kupata sahihi 70 za wabunge

Mimi Mbunge wangu kule jimbo la Bahi ni form four ya kuunga tena ni ccm kumuona tu waziri mkuu yeye ni fahari na ujiko wa kisiasa huko jimboni, hatadhubutu hata kuwa karibu na Zitto! Ila nahamasisha wananchi tumng'oe uchaguzi ujao hana Maslahi kwetu wala kwa taifa, ni mbunge wa ccm wala si mbunge wa jamhuri ya muungano!
 
Wanajamvi wenzangu, kwavyovyote vile inahitajika sahihi kadhaa kutimiza hizo 70. Na hao watakaosaini tutawakubali kuwa ndiyo wazalendo. Sasa napenda kuwauliza swali wana-JF wenzangu, hivi Lowasa akichangia sahihi mtamuweka kundi gani? Atasameheka?? Ninawasiwasi wale watuhumiwa wanaweza changia sahihi ili kujiosha/kutubu. TAFAKARI
 
Mbunge wangu ni mama yake Le Mutuz muzee ya New York, Anna Kilango nimeongea nae na kesho nitampigia tena, na sasa hivi na tuma namba yake kwa wapiga kura wake nao wampigie kumsihi ili tupate signature yake ni muhimu sana
 
Ongea na Baharia atakusaidia kwa kuwa hata zile kura 42 alizopata kwenye EALA nyingi zilikuwa za upinzani na alifanyiwa kampeni na Zitto.
 
Ongea na Baharia atakusaidia kwa kuwa hata zile kura 42 alizopata kwenye EALA nyingi zilikuwa za upinzani na alifanyiwa kampeni na Zitto.

Aaah! Le Baharia hapatikani kwa phone yake, na wasiwasi atakuwa amekwea pipa leo asubuhi!
 
Mbunge wangu Mnyika, mbunge wa mamaangu Sugu, mbunge wa mdogowangu Shilinde, mbunge wa demu wangu Mdee, mbunge wa swahiba wangu mkubwa Wenje, mbunge wa swahiba wangu mwingine ni Nassari...sie wala hatuna presha.

Hahaaaa nimeipenda hiii.....kwa sie wenye wabunge wa CDM hatuna la kuhofia. Pipozzzzzzzzzzzzzzzz........:peace:
 
Kuepuka kukosa Sahihi 70 hasa kutoka kwa wabunge wa CCM karatasi ya kuwasainisha iwafuate hata wanapolala maana njia ya kuwasubiria mlangon nina iman hawatasaini kuepuka kuonekana wasaliti wa chama maana hawana ujasiri toka moyoni
 
siri ya nini? hii ni demokrasia. Mimi naomba sana wakosee tu awamu hii waone nguvu ya m4c. ok saini 70 zitaptikana but 50% + 1 ndio ngoma
 
NA MM NAMUUNGA MKONO ZITO
NAOMBA KURA 70 ZA WANA JF KUTOKUWA NA IMANI WAZIRI!
naomba to vote na tusipopiga na sisi ni (wasariti)
 
Kuepuka kukosa Sahihi 70 hasa kutoka kwa wabunge wa CCM karatasi ya kuwasainisha iwafuate hata wanapolala maana njia ya kuwasubiria mlangon nina iman hawatasaini kuepuka kuonekana wasaliti wa chama maana hawana ujasiri toka moyoni
Kama wako hivi hawatufai kama wawakilishi wetu. Kama wanaogoapa chama basi wapo bungeni kutetea chama na wala si wapiga kura wao. Sasa hapa ndio tutajua yupi anafaa kurudi bungeni na yupi ni msaliti. Cha muhimu mh zitto atupe orodha yote ya wabunge waliosaini ili tujue ni yupi wa kumuadhibu. Hapa hakuna mambo ya kufanya kwa siri, kila kitu kiwe wazi ili wananchi tuwajue wasaliti wa nchi yetu.
 
Hakuna kufanya siri! Wenye uchungu na nchi wataenda wenyewe kusaini, wale wananufaika na ulaji unaoendelea wataendelea kuwa waoga na hapo ndio tutakapo shambulia majimbo yao kama nyuki na kuwapiga chini rasmi uchaguzi ujao!
 
na mm namuunga mkono zito
naomba kura 70 za wana jf kutokuwa na imani waziri!
Naomba to vote na tusipopiga na sisi ni (wasariti)

mawaziri wabovu wako wengi katika serikali ya jk. Ni vizuri kama tungewapigia kura wote, kumi wa kwanza kwa wingi wa kura za kuwa wabovu tumwambie jk sisi wenye nchi awatimue. Mi kura yanu ya kwanza ya waziri asiyefaa kutufikisha 2015 naipiga kwa, oops!! Narudi
 
Big up zitto...
Kwa vile wenzako wa chama pinzani(ccm) ni wengi kuzidi chama tawala (chadema) yamkini ukapata shida sana ya kuzipata sahihi 70.. Mungu ajalie zipatikane... Nchi ni kama inajipeleka yenyewe.. Haina kiongozi kabisa..rais hana wasaidizi...wote wamestarehe wanacheza viduku town...
 
Leo hata wakikata umeme ntaenda kuangalia bunge ktk baa yenye jenereta..ama ofisi ya mkuu wa mkoa itaweka tv pale nje,.kwani si public servise.magamba kimenuka
 
NA MM NAMUUNGA MKONO ZITO
NAOMBA KURA 70 ZA WANA JF KUTOKUWA NA IMANI WAZIRI!
naomba to vote na tusipopiga na sisi ni (wasariti)

Lugha ya picha ni nzuri sana.
533428_365760620128418_189339031103912_936644_1191524367_n.jpg
 
Ndugu mtanzania hakikisha kuwa unatuma Sms za kutosha kwa hawa wabungu wetu kuwaambia kuwa tuko pamoja nao
 
Back
Top Bottom