sijuikitu
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 286
- 12
Nimeona kuwa kila saa mkuu mmoja akiharibu huwa uovu wake unafichwa kwa kisingizio cha Usalama wa Taifa.
Watanzania, kiongozi akifanya kosa, akiiba, akidanganya, ni lazima awajibishwe, huo sio Usalama wa Taifa.
Bill Clinton alivyonanihii na Monica Lewinsky, alijadiliwa na kuwajibishwa....ila najua kama ile kitu inge/ime/ina tokea bongo, inapotezewa kwa kusingizia Usalama wa Taifa.
Kuna document moja nimeiona imepigwa muhuri wa SIRI, wakati kitu kilichondani ni kosa ambalo kiongozi amefanya.
Tanzania bana.