Watanzania watano wazamia Sweden!

this is expected when the future of the nation seems blurred to a lot of us. i dont know if what they did should be considered a heroic or stupid effort.
 
wanatumia mbinu gani na mie nijilipue?

Soma link mkuu, gear ya michezo hiyo!

Kuna hili la kusikitisha lakini
In another case, a number of Tanzanian girls left their team in 2002. Four years later, two of them were found working as prostitutes in Gothenburg.
 
Soma link mkuu, gear ya michezo hiyo!

Kuna hili la kusikitisha lakini
mkuu kumbe ze utamu mkweli........hii ya womens wa sweden kujiuza Gothenburg aliiweka watu wakaponda sana eti si kweli.......ze utamu we need u back
 
wanatumia mbinu gani na mie nijilipue?

Mbinu inayotumika hapa ni rahisi sana ,ikiwa utasikia kuna kundi au timu fulani inaondoka kuelekea majuu basi jaribu sana kukutana na wale vigogo wanaoshughulikia msafara huo ,hapo nawe utachanganywa na kundi hilo na kuondoka nao ,kwa maana yanapopelekwa maombi ya visa nawe unahakikishwa unakuwemo .ila kuna dau la kusafiria,hili unampa yule unaepanga nae mipango ,sasa hapa napo patamu unaweza ukafanikiwa kama upo smart au ukatapeliwa ,hivyo inakubidi uwe makini katika kutoa hiyo hela ,itakubidi upatane ,kama utatoa robo na ingine utamalizia baada ya au siku utakapokabidhiwa pasi yako ikiwa imeshagongwa visa. La si hivyo utapoteza pasi na hela italiwa na safari usikie tu jamaa weshaondoka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom