Watanzania waone umuhimu wa kuwachagua wapinzani

mchambuzixx

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
1,292
943
kwa hali ilipifika sasa ni wazi kila alieipa kura ccm nafsi itamsuta ishu ya katiba sio ishu ya kuchezea kama imefikia wakati mpaka maprofesa waliobobea kwenye sheria wanatukanwa kwasababu ya kudai haki ya katiba mpya na watu ambao pengine hata walikuwa wanafunzi wao, ccm wanafanya wanavyotaka katika bunge wamekuwa viburi coz wapo wengi bungeni lakini sauti ya upinzani inasikika zaidi nje ya bunge kwa kutumia nguvu ya umma kwa sasa hatuna tunachoweza kufanya sheria ya ununuzi vitu chakavu lazima tu itapita ila katika hili la katiba mpya kipo tunachoweza kufanya kwakuwa katiba ni mali ya wanachi na sio serikali .... namalizia kwa kusema nafsi yangu iko saafi kwa kutochagua takataka inayoitwa ccm je wewe ulioichagua unajiskiaje kwa sasa na mambo yanayoendelea katika nchi hii
 
Back
Top Bottom