Watanzania wanaokuboa

ninaboreka na watu kama vile saida kaloli,na dj sogi wa uhuru mf. kwa aina yao ya kotoka kiusanii hapa bongo.
 
hadithi za eric shigongo

Jamani hadithi za Eric Shigongo zinaboa sana! Zote za majonzi tu! Halafu cha kushangaza zinakuwa ndefu mpaka zinapoteza maana!

Kitu kingine, hana ''attention to details''. Utashangaaa anazungumzia mambo ya mwaka 1977 halafu mhusika kwenye hiyo hadithi anaendesha Landcruiser VX. Hivi jamani hapa Bongo miaka ya 70 kulikuwa na Landcruiser VX?
 
Hivi yule jamaa wa Clouds FM anayetangaza kipindi cha XXL anaitwa Adam Mchomvu ni mzima wa akili kweli? Ananiboa sana kwa kujifanya anaongea Kiswahili cha mtaani mpaka anapitiliza....yaani anaboa!
 
Hivi yule jamaa wa Clouds FM anayetangaza kipindi cha XXL anaitwa Adam Mchimvu ni mzima wa akili kweli? Ananiboa sana kwa kujifanya anaongea Kiswahili cha mtaani mpaka anapitiliza....yaani anaboa!

Mchomvu nadhani unamaanisha, mshikaji ni mshamba sana kwa wanaomjua kuanzia alipokuwa anabeba CD case za akina DJ white billz hata hawawezi mshangaa.
 
Wajameni huu uzi ni wa wahenga. Mashabiki wenye timu zenu haruhusiwi kutoa comment yoyote hapa.
 
Wakati fulani marekani Robin Givens aliwahi kutajwa kuwa ndo the most hated woman in America, enzi hizo watu walikuwa wanamuona ndo chanzo cha Mike Tyson kuchanganyikiwa, hasa aliposema aliolewa na Tyson for money.

Any way hivi leo kwa hapa Tanzania ni nani ambaye tunaweza kusema ndo mtanzania anaetuboa zaidi? Tukiacha wanasiasa hasa wa CCM.
Kwenye upande wa burudani na jamii ni watanzania gani kama wapo unafikiri wana kuboa kupita kiasi?
Ingawa hutaki kwenye siasa lakini Mimi wanaoniboa ni magu na bashite
 
Back
Top Bottom