Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 3,792
- 1,844
- Thread starter
- #41
Just imagine kuwa kuna chama kimekaa kikao na kumpendekeza Freeman Aikaeli Mbowe awe rais wa Tanzania ......... are you serious? Kwa lipi ambalo litamfanya mtanzania yeyote amchague yeye kuwa rais? hata jimboni kwake kashinda kwa asilimia chache sana.
Upinzani umedoda!!
Kwa hili CHADEMA walichemsha, hata mgombea wao wa 2010 bado ana kasoro pamoja na kuwa ni bora kuliko MBOWE lakini yu mbali ukilinganisha na wagombea wa CCM HASA UKIANGALIA Biografy yake ya nyuma. Ninaimani kuwa CHADEMA watamchagua mgombea mwingine 2015.