Elections 2010 Watanzania wameshamchagua Slaa kuwa Rais wao

Paddy

JF-Expert Member
Sep 22, 2010
462
304
Uchunguzi uliofanywa tangu kuanza kwa kampeni unaonyesha Dr. Slaa atashinda urais kwa kishindo kuliko ule wa CCM wa 2005
 
Usitupoteze, huo uchunguzi wa Great thinkers wenyewe umemfikisha asilimia sitini na kitu, sasa kuna watu kibao wasio na uelewa watakaopiga kura na wengine washabiki kama Yanga na simba wasiojua mahitaji yao, haiwezi kuwa na kishindo japo ccm wanjua kuwa wamechemsha sana
Wanategemea tu hao watu wasiojua needs zao wawape kura pamoja na wizi- lakini kuna wimbi zito la watu wasiojua,

Jamani naendelea kutoa wito KILA MTU AMWELIMISHE MWENZAKE AMPGIGIE SLAA KWA MABADILIKO YA TANZANIA KUELEKEA MAENDELEO
 
wachunguzi wakubwa wa hilo ni wananchi wanaojaa.kwenye mikutano ya mheshimiwa Rais Slaa
hao hawatoshi hata wale wasiofika na wanaopenda maendeleo pia ni wachunguzi wazuri

wambie na wengine pia
 
Kura yangu kwa Dr wa kweli. Dr Slaa. Malaria sugu nenda ukawekewe drip ya konyagi
 
hao wanaoshabikia ccm wana roho ngumu sana, nadhani viboko vifutwe mashuleni kwani wanafunzi wameshaelewa, ila huku mtaani vinahitajika sana kuwazindua wanaccm!!! tutaweka malengo, kwa mwaka wanaccm kadhaa wanaamshwa!
 
Uchunguzi uliofanywa tangu kuanza kwa kampeni unaonyesha Dr. Slaa atashinda urais kwa kishindo kuliko ule wa CCM wa 2005

Title ya thread yako si sahihi kwa sababu Dr Slaa hajachaguliwa na si watanzania wote wanamtaka wakati kuna wagombea zaidi ya watano na kila mmoja ana Watanzania wanaomuunga mkono.

Utafiti wa siku za karibuni ie REDET bila kujali aina na idadi ya sample waliotumia ilionekana JK atapita tu kwenye Urais
 
Back
Top Bottom