watanzania wamechoka sasa wanahitaji mabadiliko ya kweli

tunkya

Member
Apr 17, 2008
7
0
tunahitaji kusoma nyakati na kuchungulia ni kitu gani wenzetu wanafanya. ni wakati wa kuwaiga Wamisri na Tunisia ambao walisimamisha mambo yao yote kuhakikisha wanaleta mabadiliko ya kidemokrasia baada ya kuchoshwa na ubabaishaji wa serekili zilizopo madarakani. Ni lini WATANZANIA TUTAFIKIA MOYO WA KIJASIRI WA NAMNA HIYO HASA KWA MASWALA NYETI YANAYOHUSU MSTAKABARI WA TAIFA KAMA VILE MALIPO YA DOWANS?
 
Back
Top Bottom