Watanzania Wameanza kumuelewa Dr Slaa na Siasa za Kukurupuka

Mi nasema na ntazidi kusema Dr Slaa ni shujaa wa karne na uwezo wake haupimiki kwa kumlinganisha na kiongozi yeyote Tanzania. Full stop!

Umetumia kigezo gani kufikia conclusion hii mkuu.

By the way kwa kumtaja shujaa wa "karne hii sasa" tayari unaonyesha uwezo wako wa kufikiri unaishia wapi!!
 
Slaa ni "simple mind"

Of course ni kwasababu ya "educational background" ....

Wenye akili walisha mpuuza kwenye discussion zao..anatumika kulipua..mwishowe atalipuka mwenyewe..

anaitwa Dr Slaa sio slaa au unamaanisha mwingine? Wee na ukoo wako wote hawajahi kusikia wala kuijua title iyo ndo maana unaichukulia poa,kweli wee unaandika "simple mind". Really what one knows is what one expresses,thence,knowing simple mind thus you are.
 
Dr Wilbrod Slaa(Phd) amekuwa mwana siasa maarufu hapa nchini hasa kwa namna yake ya kuibua mambo mbalimbali mchanganyiko mengine yakiwa na ukweli na mengine ya kiwa hayana ukweli!

Suala la kutaja watuhumiwa wa ufisadi ni moja ya mambo aliyofanikiwa kwani hadi sasa hakuna hata miongoni mwa aliowataja hawaja enda kumshitaki mahakamani au wao kukanusha! Mengine ni pamoja na suala la Kontena la karatasi za kupigia kura alilosema limetokea Afica ya kusini hadi leo hakuna ukweli wa jambo hilo!

Lakini pia amekua kua akitoa matamko yenye muda ambayo pindi muda unapo pita kuna kua hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa! Mfano: Alimpa siku 9 Kikwete maisha ya watanzania yawe mazuri,Alitoa siku 21 serikali ihakikishe uchaguzi wa Meya unafanyika!

Juzi amempa Kikwete siku 90 awe amesha wafukuza Mafisadi ndani ya CCM! Dr Slaa lazima awe makini na ahadi za namna hii kwani zinatoa picha yake halisi ya kukurupuka katika siasa na inampunguzia heshima kwa Jamii. Ni bora awe anatoa siku hizo na utekelezaji Uonekane!

Comment yangu...

  1. Wewe ni kati ya watu wenye uwezo mdogo wa kujua mambo hasa ya siasa....na nadhani kwa ufinyu wa mawazo yako uwezi kumuelewa Dr Slaa..
 
watu kama wewe ni waajabu sana mnajita ukiziwi wa makusudi kikwete mwenyenyewe alisema kuwa sukari imepanda kwa sababu mwezi machi wazalishaji wa sukari wanasitisha uzalishaji kutokana na mvua inayonyesha kuanzia april na bla bla nyingine,sababu ambayo haina mashiko km ni hivyo kwa nini wasizalishe sukari nyingi ya akiba?halafu wewe unaleta hadithi ya kupanda kwa mafuta.mbona unasaliti dhamira yako?uongo wako hautakufikisha mbali.
numbers dont lie!!
 
Do you believe that the "people" benefited from it?Are you serious?......Let me ask you a question,would you eliminate import tarrif or mobilize a consumer cooperative that will import and sell at a break-even price?
Because eliminating import tarrif creates a whole other branch of sugar importers,fattening a business community(mostly non-indigeneous,of course) while denying the mass,a source of income(tarrif),so actually you guys got played!..I mean,big time!!

Will you kindly extend this advice to the CCM imbecile economists and their irresponsible government?
 
Slaa ni "simple mind"

Wenye akili walisha mpuuza kwenye discussion zao..anatumika kulipua..mwishowe atalipuka mwenyewe..

So far nakubaliana na wewe.

"Great minds discuss ideas; Average minds discuss events; Small minds discuss people" Eleanor Roosevelt!!

Kwa categories hizi ambazo ninakubaliana nazo sana, itakuwa ni vigumu sana kutomuweka Dr.Slaa kwenye category ya small minds.
 
Will you kindly extend this advice to the CCM imbecile economists and their irresponsible government?
This government has been advised left and right!!....African politics are complicated,a lot of Drs.I actually wanted to go one on one with Dr.Slaa but his wack technocrats got in the middle of it!!!
 
Tumsifu yesu kristu,nakuheshimu sana mzee Slaa lakini angalia unatumika vibaya sana na wenzio wanachadema,mbona wewe wanakupa misalaba ya kutaja taja majina na kuibua controversial issue in our country! kwanini kina Mbowe miaka yote tangu waanzishe chama hawajawahi kufanya unayoyafanya? kwanini hujiulizi mzee,wewe unachafuka wenzio wananemeeka na kazi zako,kingine mbona wao hawajitokezi humu jamvini kujibu hoja za CDM,ni wewe tuu kila mara au kidogo mkeo JOSEPHINE ndio huwa nawaona huu ndani,where is mbowe,mtei,ndesa,arif,lwakatare,prof safari etc? STOP BEING USED MY MZEE OTHERWISE ITAKULA KWAKO
Ama kweli wewe ni mchovu wa kufikiri, unatakiwa kujadili hoja zilizopo humu na sio kuomba hoja kutoka kwa watu wanao fahamiana na mtoa hoja. Wanaomtwisha misalaba Dr. sio hao unaowalazimisha kuchangia humu, ila wewe na wenzako mnayetetea mfumo mbovu na ufisadi. Unanufaikaje na utendaji mbovu wa serikali ya CCM? au unanufaikaje na vifo vya watanzania wafao kwa magojwa yanayotibika ati kwasababu hakuna dawa kwani fedha za dawa zilichukuliwa na walafi wachache kughalimia kampeni za CCM? You always argue like a fool for the sake of pleasing those who pay you in the expense of the suffering Tanzanians. Shame on you!
 
Una ufinyu wa kutambua mambo.
Kwangu binafsi suala la bei ya sukari kuwa juu si tokana na ulinganifu wa bei ya vitu vingine duniani. Sukari yetu ina bei kubwa kushinda nchi zinazotuzunguka, hii ina maana sukari toka nje ina bei ya chini kuliko tunayozalisha hapa nchi hata kabla ya kuweka gharama ya usafiri. Hapa tatizo ni mfumo wa kodi.
Pia sijawahi kuona bei za soko la Tanzania zikiendana na zile za soko la dunia. Hata pale ambapo mafuta yalianguka bei katika soko la dunia bei za mafuta yetu zilibaki kuwa juu.
Kwa hiyo kufikiri kwamba bei ya sukari ilitokana na kushuka kwa bidhaa hiyo katika soko la dunia ni usomi wa kukariri usioweza kutoa tafasiri na kuelewa mambo halisi. Na kama bei hizo hazikushushwa kwa shinikizo la CDM, basi ni sawa pia kusema tamko la raisi Kikwete kwamba bidhaa hiyo ishuswe bei halikutekelezwa.
Kwanza kabisa wewe na wenzako hao mko very very shallow!!,mnafikiri kila agizo atalotoa kikwete litatekelezwa?Unafikiri kwa ufinyu wako wa akili,kiongozi yoyote anaweza ku-impact market kama ya sukari kwa kuropioka tu?......Thats really shallow,kawadanganye wengine,huwezi kunipata mimi hata siku moja!

Thursday April 21, 2011 Business & FinanceHiked sugar price irks local producer

By FINNIGAN WA SIMBEYE, 7th March 2011 @ 11:00, Total Comments: 0, Hits: 109

A 50 kilogram bag of sugar is sold at 75,000/- by Kagera Sugar Company Limited in Bukoba town which translates to 1,500/- per kilogram hence retailers should sell it at not more than 1,700/- as Prime Minister Mizengo Pinda directed.

“There are some greedy traders out there who are exploiting the public excessively,” said Fulgence Bupe, KSL’s Marketing Manager.

Mr Bupe said whoever is selling sugar from his factory at above 1,700/- a kilo is milking the public because their major distributors are selling the sweetener at not more than 78,000/- in Ngara which is over 700 kilometres away from the factory.

Prime Minister Pinda was alarmed by the hiked sugar prices being charged by retailers in Bukoba urban which is 70 kilometres away from Kagera Sugar.

“This price is unacceptable, why charge 2,000/- for a kilo when the factory is here?” Mr Pinda who is on a tour of the border region said.

Mr Bupe argued that some retailers are making windfall profits because their major distributor in Bukoba is selling a bag at 76-76,500/- a kilo. At 2,000/- a kilo, middlemen are earning a whopping 25,000/- per bag.

“It’s unacceptable as the PM said for traders to be hiking sugar which is available right here in Kagera,” Bupe pointed out.

An official with Amir Hamza Enterprises said greedy wholesalers and retailers are behind the hiked prices as most distributors put in a margin of between 1,500/- and 2,000/- per bag to cover logistical costs and earn a modest profit. Amir Hamza is the main distributor of KSL in Bukoba.

“We normally sell the product to large scale wholesalers who do the same to retailers.This is abnormal to see a margin of more than 20,000/- a bag shared between them,” the official argued.

Meanwhile, sugar prices are dropping in Dar es Salaam as retailers show a supply improvement with a kilogram of sugar currently selling at between 1,850/- and 2,000/-. Most of the sugar selling at 1,850/- per kilo is imported while local product remains high.

“We can’t reduce the price because wholesalers are selling sugar to us at between 78,000/- and 90,000/- each for a bag of 50 kilogram,” said Mwajuma Adamu, a shop owner at Kariakoo who was found selling the product at between 1,860/- and 2,000 a kilo.

She said unlike two weeks ago, availability of the product has improved but prices won’t go down yet because most shop owners are buying the product at hiked prices. Ms Adamu urged authorities to reign in greedy wholesalers who have failed to yield to the government’s order.

“As long as we get the product at a hiked price, we will pass over the same to consumers,” said Frank Mwaitama, another shop owner at Mwenge whose retail price range between 1,850/- and 1,995/- a kilo of local sugar.

A source privy to the industry said hoarding of local sugar is still a problem as producers and super dealers target shortage likely to occur at the end of this month and next April when the low season peaks and world market prices are likely to appreciate.

“Last September price per ton of sugar at the world market was 450-500 US dollars (675-750,000/-), currently it is 900 US dollars CIF (1.35m/-) to Dar es Salaam and the upward surge is likely to continue,” said an authoritative source in the industry who preferred not to be identified.

Sasa niambie kama bei ya sukari katika soko la dunia haina effect yoyote kwa bei ya sukari hapa bongo....Are you seriuos?? KALAGHABAHO NA UBOZI WAKO.

Daily_04.gif
Daily_05.gif
Daily_06.gif
 
Dr Slaa ni kweli unakurupuka.wewe hukuzungumzia bei ya sukari maisha siyo sukari tt
tu.unajiliwaza bure hakim unachofanikiwa, ukumbuke uongo ni mfupi na hauchelewi kubainika. Juzi juzi ukiwa Maswa ulitangaza kifo cha mkuu wa mkoa wa Shinyanga ulitafit na ni kweli amekufa Kama siyo kukurupuka ni nini? Mbona hadith Leo hujaomba radhi? Unweza kuwadanya watu wachache kwa muda tu, lakini huwezi kuwadanganya watu wore wakati wote. ACHA kUKURUPUKA !
We kiazi kweli kwani nani asiyekunywa chai maisha bora ni kila kitu hata kiwe kidogo vipi ulitaka azungumzie bei ya gari nini achana na mawazo mgando waliokutuma wamechemsha kukutuma we chai maharagwe
 
Do you believe that the "people" benefited from it?Are you serious?......Let me ask you a question,would you eliminate import tarrif or mobilize a consumer cooperative that will import and sell at a break-even price?
Because eliminating import tarrif creates a whole other branch of sugar importers,fattening a business community(mostly non-indigeneous,of course) while denying the mass,a source of income(tarrif),so actually you guys got played!..I mean,big time!!

Kobello, ni vema tukaweka record sawa. Sikuzote wewe ni mtetezi wa serikali ya Tanzania katika maovu na uzembe, sidhani kuwa kuna ubaya wowote wa kumpongeza mtu anayefanya jambo zuri hata kama linaudhi ninyi serikali.
Mara nyingi umekuwa unatumia ujanja wa kuwaondoa watu katika mada halisi ili wajadili kile unachokitumikia kwa kujenga hoja zinazolenga kupotosha.

Bei za sukari zilipopanda, si Rais, Makam au WM au waziri husika aliyewahi kusimama na kutolea maelezo. Kila mmoja alikuwa bize na wengine wakionekana kwenye sherehe za kutawazwa viongozi. Bei ya bidhaa lilikuwa suala la raia mwenyewe popote alipo.

Chadema walitumia mikutano yao kueleza hisia za wananchi kwa kadri walivyoona. Ni hapo tukaona mabango yakionyeshwa na wananchi kama sehemu ya hisia zao. Ghafla serikali yote ikazinduka na kuanza kushughulika kama Mh Pinda alivyofanya.
Haya yote yalifuatia maandamano ya CDM na hakuna mahali Takwimu za FAO, UNICEF n.k zimetajwa na kiongozi kama unavyotaka kuaminisha. Kama ni kweli au la, bado kauli za viongozi zinabaki kuwa za serikali na tunalazimika kuzikubali.

Hakuna siku nimesikia CDM wakisema uondolewe ushuru ili sukari iingizwe bure, hayo ni mapendekezo ya nyinyi serikali ambayo hapa JF tuliyakemea kwa kusema ilikuwa ni mbinu chafu za wafanya biashara kuibana serikali ili wapate mterereko wa kodi, wakati huo ulikuwa hujajiunga na JF na inapelekea kutoelewa baadhi ya mijadala. Sio kosa hata hivyo.

Ninachokumbuka ni kuwa CDM walisema ipunguzwe kodi ya ndani ili bei ipungue( sio import tariff)
Kama unakumbukumbu za CDM kusema import tariff ipunguzwe ziweke hapa jamvini, kwasababu hapa ndipo spinning inapotokea na wewe unapata mwanya wa kuupotosha umma. Tuwekee ushahidi wa CDM kusema import tariff iondolewe.!!

Na mwisho kumbuka kuwa mambo mengi mnayofanyia kazi nyinyi serikali ni kutokana na changamoto za CDM. Si wabunge wa CCM au CUF waliowahi kusimama na kutetea maslahi ya umma, au viongozi vya vyama vyao.
Sidhani kama ni dhambi itakayohitaji utubu kama utasema Hongera kwa jambo zuri likifanywa.
 
Laiti ningalikua Mhe Chiligati ningalikunyima kabisa malipo yako ya mwezi huu kwa kukidhalilisha CCM yenu kwa hoja za nguvu kiasi hiki badala ya Nguvu za hoja.

Nguvu za hoja huhitaji zaidi ushahidi usiopingika juu madai yako. Kwa bahati mbaya saaaaana hili huonekana kwamba lilikugomea ghafla njiani wakati ulipokua nyuma ya kompyuta yako.

Labda tu tukuweke katika sala uje ufanye vizuri katika threads zako za huko mbele ya safari.

Dr Wilbrod Slaa(Phd) amekuwa mwana siasa maarufu hapa nchini hasa kwa namna yake ya kuibua mambo mbalimbali mchanganyiko mengine yakiwa na ukweli na mengine ya kiwa hayana ukweli!

Suala la kutaja watuhumiwa wa ufisadi ni moja ya mambo aliyofanikiwa kwani hadi sasa hakuna hata miongoni mwa aliowataja hawaja enda kumshitaki mahakamani au wao kukanusha! Mengine ni pamoja na suala la Kontena la karatasi za kupigia kura alilosema limetokea Afica ya kusini hadi leo hakuna ukweli wa jambo hilo!

Lakini pia amekua kua akitoa matamko yenye muda ambayo pindi muda unapo pita kuna kua hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa! Mfano: Alimpa siku 9 Kikwete maisha ya watanzania yawe mazuri,Alitoa siku 21 serikali ihakikishe uchaguzi wa Meya unafanyika!

Juzi amempa Kikwete siku 90 awe amesha wafukuza Mafisadi ndani ya CCM! Dr Slaa lazima awe makini na ahadi za namna hii kwani zinatoa picha yake halisi ya kukurupuka katika siasa na inampunguzia heshima kwa Jamii. Ni bora awe anatoa siku hizo na utekelezaji Uonekane!
 
Kobello, ni vema tukaweka record sawa. Sikuzote wewe ni mtetezi wa serikali ya Tanzania katika maovu na uzembe, sidhani kuwa kuna ubaya wowote wa kumpongeza mtu anayefanya jambo zuri hata kama linaudhi ninyi serikali.
Mara nyingi umekuwa unatumia ujanja wa kuwaondoa watu katika mada halisi ili wajadili kile unachokitumikia kwa kujenga hoja zinazolenga kupotosha.

Bei za sukari zilipopanda, si Rais, Makam au WM au waziri husika aliyewahi kusimama na kutolea maelezo. Kila mmoja alikuwa bize na wengine wakionekana kwenye sherehe za kutawazwa viongozi. Bei ya bidhaa lilikuwa suala la raia mwenyewe popote alipo.

Chadema walitumia mikutano yao kueleza hisia za wananchi kwa kadri walivyoona. Ni hapo tukaona mabango yakionyeshwa na wananchi kama sehemu ya hisia zao. Ghafla serikali yote ikazinduka na kuanza kushughulika kama Mh Pinda alivyofanya.
Haya yote yalifuatia maandamano ya CDM na hakuna mahali Takwimu za FAO, UNICEF n.k zimetajwa na kiongozi kama unavyotaka kuaminisha. Kama ni kweli au la, bado kauli za viongozi zinabaki kuwa za serikali na tunalazimika kuzikubali.

Hakuna siku nimesikia CDM wakisema uondolewe ushuru ili sukari iingizwe bure, hayo ni mapendekezo ya nyinyi serikali ambayo hapa JF tuliyakemea kwa kusema ilikuwa ni mbinu chafu za wafanya biashara kuibana serikali ili wapate mterereko wa kodi, wakati huo ulikuwa hujajiunga na JF na inapelekea kutoelewa baadhi ya mijadala. Sio kosa hata hivyo.

Ninachokumbuka ni kuwa CDM walisema ipunguzwe kodi ya ndani ili bei ipungue( sio import tariff)
Kama unakumbukumbu za CDM kusema import tariff ipunguzwe ziweke hapa jamvini, kwasababu hapa ndipo spinning inapotokea na wewe unapata mwanya wa kuupotosha umma. Tuwekee ushahidi wa CDM kusema import tariff iondolewe.!!

Na mwisho kumbuka kuwa mambo mengi mnayofanyia kazi nyinyi serikali ni kutokana na changamoto za CDM. Si wabunge wa CCM au CUF waliowahi kusimama na kutetea maslahi ya umma, au viongozi vya vyama vyao.
Sidhani kama ni dhambi itakayohitaji utubu kama utasema Hongera kwa jambo zuri likifanywa.
Hivi? kwanini unanihusisha na serikali hii mbovu?Mimi ni mbeba maboksi mashuhuri tu!sina cheo ama wadhifa wowote,lakini nina elimu ya kidato cha nne na hii isiwe sababu ya mimi kutokutoa mawazo yangu!
Wewe nikosoe kwa kutumia takwimu na vithibitisho vingine ila usijaribu kunihusisha na mambo yasiyonihusu,mimi ni mtu wa kawaida tu! ambaye nimefaidika sana na uwepo wa JF kwa sababu imenifanya niache kuangalia filamu za ngono mtandaoni!
 
Siku 21 Mgogoro wa meya Arusha uwe umeshughulikiwa
Siku 90 mafisadi wa fukuzwe ( Uwongo usio hitaji Mjadala)
Siku 9 Gharama za maisha zipungue

Nikijaribu kuji uliza kama nikweli hizi ndizo ahadi za Dr. Slaa kama mtoa mada anavyo dai na pata jibu kwa nini yule Kilaza wa ccm waliye mvua ukatibu mkuu kwanini aliwa katalia wa gombea 2010 wa sijihusishe na midahalo.Kumbe Wenyewe wanajua siri yao kuwa mwanachama au mshirika wa ccm lazima uwe mwehu au uwe na akili finyu na hili wa Tanzania hawalijui,wangelijua na dhani ingelikuwa aibu mbele ya jamii kujiita mwana ccm au mshirika wake.

Kuna makosa makubwa sana watanzania tuliyafanya wakati wa kurudisha mfumo wa vyama vingi Tanzania.Ilitakiwa kusiwe na chama chochote hai ccm ilitakiwa kufutwa na kuanza upya tena kwa jina lingine tofauti na hili ambalo lime beba ujiko wa Nyerere na kuwa fanya wa Tanzania wasielewe kabisa kuwa hiki siochama kichotakiwa kutokana na maadili aliyoyataka Nyerere.Nauhakika ingelikuwa hivyo nchi hii isinge ongozwa nawatu wenye sifa za ccm ya sasa,hatahivyo tuna weza kubadili serikali ya namna hii kwa kuwa na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi vinginevyo imekula kwetu.......
 
Dr Wilbrod Slaa(Phd) amekuwa mwana siasa maarufu hapa nchini hasa kwa namna yake ya kuibua mambo mbalimbali mchanganyiko mengine yakiwa na ukweli na mengine ya kiwa hayana ukweli!

Suala la kutaja watuhumiwa wa ufisadi ni moja ya mambo aliyofanikiwa kwani hadi sasa hakuna hata miongoni mwa aliowataja hawaja enda kumshitaki mahakamani au wao kukanusha! Mengine ni pamoja na suala la Kontena la karatasi za kupigia kura alilosema limetokea Afica ya kusini hadi leo hakuna ukweli wa jambo hilo!

Lakini pia amekua kua akitoa matamko yenye muda ambayo pindi muda unapo pita kuna kua hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa! Mfano: Alimpa siku 9 Kikwete maisha ya watanzania yawe mazuri,Alitoa siku 21 serikali ihakikishe uchaguzi wa Meya unafanyika!

Juzi amempa Kikwete siku 90 awe amesha wafukuza Mafisadi ndani ya CCM! Dr Slaa lazima awe makini na ahadi za namna hii kwani zinatoa picha yake halisi ya kukurupuka katika siasa na inampunguzia heshima kwa Jamii. Ni bora awe anatoa siku hizo na utekelezaji Uonekane!

Dr. Slaa hawezi kuchuja mbele ya wa TZ wapenda mabadiliko na matumaini ya mwelekeo mpya wa maisha BORA. tupe jipya la serikali yako.
 
Dr Wilbrod Slaa(Phd) amekuwa mwana siasa maarufu hapa nchini hasa kwa namna yake ya kuibua mambo mbalimbali mchanganyiko mengine yakiwa na ukweli na mengine ya kiwa hayana ukweli!

Suala la kutaja watuhumiwa wa ufisadi ni moja ya mambo aliyofanikiwa kwani hadi sasa hakuna hata miongoni mwa aliowataja hawaja enda kumshitaki mahakamani au wao kukanusha! Mengine ni pamoja na suala la Kontena la karatasi za kupigia kura alilosema limetokea Afica ya kusini hadi leo hakuna ukweli wa jambo hilo!

Lakini pia amekua kua akitoa matamko yenye muda ambayo pindi muda unapo pita kuna kua hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa! Mfano: Alimpa siku 9 Kikwete maisha ya watanzania yawe mazuri,Alitoa siku 21 serikali ihakikishe uchaguzi wa Meya unafanyika!

Juzi amempa Kikwete siku 90 awe amesha wafukuza Mafisadi ndani ya CCM! Dr Slaa lazima awe makini na ahadi za namna hii kwani zinatoa picha yake halisi ya kukurupuka katika siasa na inampunguzia heshima kwa Jamii. Ni bora awe anatoa siku hizo na utekelezaji Uonekane!

Pumba mwambie JK ajaribu kama hataumbuka; kumbe bado mpo?
 
Back
Top Bottom